Mrejesho: Mume wangu nimechoka kukusubiri

Dodoma uko geti jeusi njia ya kwenda mirembe!! Wazee wa suti nyeusi
 
Karibu Sana pm hutajutia nakumbia hutajutia
 
Hakuna umri sahihi wa kuwa desperate kwa ajili ya mume /mke vitu vingine kama ndoa na mahusiano vinakuja automatically ni yeye tuu kutukiza akili na kumchagua wake wakuishi nae
Ndio maana namwambia muda ukifika hata afikishe ama azidi miaka hiyo atampata wake hiyo ndio asili
 
Mume npo...nahitaj yafatayo:

1.unachura? (kama yupo ni lain au gumu?)

2.unabikra?

3.vp chuchu ni msumari au ndala?

km hvo vtu unavyo ni PM tumalze shughuli[emoji1]
 

Lamuhimu kabisa hukuainisha

UNA CHURA?
 
Pole sana dada. Tatizo kubwa kiupande wako kwa stage uliyonayo sasa ni dini yako. Ungelikua Muislamu au upo tayari kuolewa na Muislamu naamini tayari ungelikua ushapata mtu,
Waisilamu ni wepesi wakuoa. Na kubwa zaidi wanaweza kuoa zaidi ya mke mmoja. Nahili ndio litakua advantage kiupande wako.
Mana kiuhalisia kwa mazingira kama yako career oriented women munakua wagumu sana kwenye ndoa. Hamupo tayari kuwa chini au kutumia mda wako mwingi kwa ajili ya mume. Na wanaume wengi bila ya kupata mke anaetumia mda mwingi kwa ajili yake wenyewe wanaita (wife material) basi haridhiki.
Sasa ukipata mwanaume mwenye mke mwengine maana yake huyo mwenza wako atakupunguzia mzigo (majukumu ya ndoa) naweye utajipunguzia mzigo. Hapo sasa utaweza kubalance vizuri shughuli zako za kazi na familia yako.

Kwa ushauri wa ziada, ukihisi mambo bado yanakua magumu, hicho kipengele cha dini ningekushauri kiengue, italeta wepesi mkubwa kwako.
 
Mawazo ya Mungu ni tofauti na mawazo ya mwanaadamu,Wewe unataka wa vigezo vyako ila nae Mungu kuna ambaye ameshakupangia wa vigezo vyake ila hutaki kukubaliana na hilo,Omba mungu akuchagulie mwema wa maisha yako vigezo vingine achana navyo
 
Wewe upoje
 
Tengeneza wa kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We sijui unadhani MUNGU ni mzee Jolijo...!! umpeleke tu utakavyo

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Ninazo hizo sifa tuwasiliane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteni kwa wote mlioniandikia jumbe pm

Nimetoa namba kwa mtu mmoja tu ambaye aliugusa moyo wangu.

Bado tunafahamiana kama marafiki na ikimpendeza Mungu tutakuwa wachumba, nashukuru kwa ushauri wenu mzuri katika post yangu nitauzingatia sana

Naomba mtuombee tu na kututakia mema

Asanteni Mungu awabariki wana Jf wote

#Pm imefungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera, Ukiachana na Blah blah kua makini , Sio kuchanua mapaja uko ,baadae urudi tena humu na ID hiii hii. Mabaharia kilichopo kichwan nikwamba utakua Umeliwa kwaiyo atakayefata naye atakua MTU wa masihara sababu sisi wanaume "Huwa hatumkubali mtu tukishajua tu aliliwa namtu tunayemjua au aliye toka ktk Jamii tunayoijua ..kwa ajili ya kutunza Heshima yetu, tunaogopa , 'Jamaa anataka kuoa Demu niliyemkanyaga ?'.. ndio maana unaona , Mimi Msukuma, Utashangaa naenda kuoa Mbeya ukooo , Ruvuma hahahah

Au hiii itakulazimu uje tena na ID nyingine




Jamaa ulopewa Namba, Tuwakilishe vzuri waoaji, hatutegemei kwa namna moja au nyingine baada yakula mzigo,uanze kutafuta sababu za kutoendana.



Zingatia sana sana.
 
Mtoa mada hujataja umri wa mwanaume unayemtaka.

Pia,
ilo suala la elimu kuanzia levo za vyuo Litakusumbua Sana ktk Kupata chaguo sahihi.

Ningependekeza ungelifuta, ukaweka vigezo vya MUHIMU zaidi.

Kwa maana skuhz,
Hata wapumbavu nao wanavika vyuo vikuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajasema lazima aanzie levo ya chuo, amesema chini ya hapo anatakiwa awe anajiamini, hataki mambo mmekosana tu kidogo anakimbilia kusema 'unanidharau kwa sababu sijasoma' ....kosa la kibinadamu tu ambalo hata asiyejua kusoma na kuandika anaweza kukosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…