Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
=TunasubiriMkuu, jaribu kutoonyesha hiyo rafudhi ya kikurya
Wara = wala
Hatujari = hatujali
Tunasubiri = tunasubili
Kumradhi.
Mkuu nilimsahihisha mtu then nikamtania kwa hiyo lafudhi. Niko mbali sana na hayo matamshi.