MREJESHO: Uzoefu wangu wa kutapeliwa na member, jihadhari!

We jamaa kila siku unatapeliwa wewe tuu humu ndani? πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Kipindi kile jamaa alisema hajanitapeli kwani ilikua hazijapita siku tano mpka ule uzi ukafungwa lakini sasa wiki mbili hamna majibu
 

Attachments

  • 93A2B48C-AEDB-418B-8A35-E213D4F03DD8.png
    366.9 KB · Views: 16
Nilitaka niulize maana hiyo thread ilifungwa na akaomba radhi, imekuaje tena..??

mtoa mada, 'when the deal is too good, think twice'..!!
Sasa baada ya uongozi wa humu kumcheki akatoa sababu hajanitapeli na atanitumia mzigo baada ya wiki lakini mpka sasa wiki imepita hajibu chochote
 
Kwahiyo wafanyabiashara wote kila mara lazima wakutane ndo biashara ifanyike hujui hata mtandaoni kuna biashara zinafanyika
Yani umekutana na mtu mtandaoni unamtumia hela??? watu huwa mnaokota hela au ni matatizo ya akili??
 
Sasa baada ya uongozi wa humu kumcheki akatoa sababu hajanitapeli na atanitumia mzigo baada ya wiki lakini mpka sasa wiki imepita hajibu chochote
Natumaini umeona I'd yake imepigwa ban sivyo..? Na haijulikani ni ya muda gani, kama ana nia ovu ndiyo ataitimiza vyema kabisa..!!
 
Natumaini umeona I'd yake imepigwa ban sivyo..? Na haijulikani ni ya muda gani, kama ana nia ovu ndiyo ataitimiza vyema kabisa..!!
Amepigwa ban baada kutokujibu hizi tuhuma
 
Mtag aliyefanya hivyo, haina haja ya kuwaficha waovu.
 
Pole sana, japo mimi nimefanya biashara na mdau humu na simu yangu imefika vizuri, haikutakiwa umwamini sana, ilibidi awepo mtu wa kati.
 
Pole sana, japo mimi nimefanya biashara na mdau humu na simu yangu imefika vizuri, haikutakiwa umwamini sana, ilibidi awepo mtu wa kati.
Wakati mwingine ntakua makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…