Mtu kazi yake ni kubet ulishindwa kuangalia history yake?🤣🤣🤣
Kaka jambazi alafu hukushtuka 🤣🤣Weka majina yake huku hadi ya ubatizo.
Kaka Jambazi alinila elfu semanini nikazunguka Dasalam nikiwa na mgambo ila haikurudi.
vipi ukitumiwa mzigo bila kulipia halafu wewe ndio ukawa mwizi muandamiziPili biashara za online mara nyingi unalipa ukishapata kitu ulichokitaka otherwise ukilipa kabla lazima wakunyooshe.
Utaendelea kupigwa na mm nasema upigweKwahiyo wanaofanya biashara mtandaoni wanajuana
Mchana yupo kazini. Usiku anarudi mida mibovu.Sasa kama mtu unajua anapopatikana anakutapeli vipi?
Hujaamua kudai pesa yakoMchana yupo kazini. Usiku anarudi mida mibovu.
Simu hapokei.
Kwenye ishu ya pesa umakini unahitajika n mkubwa sana, watu wanaitaka pesa yako kwa kila namna. Next time kuwa makini, wewe ndo ulisema upo mwanza unahitaji computer?Asante sana, wabaya watu
Nitumie mbinu zipi ?Sasa
Hujaamua kudai pesa yako
weka surveillance ya 24/7 umpate akupe hela yako mkuuNitumie mbinu zipi ?
Bwege kweli weweNatumai wote mko salama.
Napenda kushiriki kwa uchungu na tahadhari kuhusu tukio lililonikumba hivi karibuni kupitia jukwaa hili. Niliingia mawasiliano na mmoja wa wanachama humu ambaye aliniahidi kutuma game pamoja na simu Tulizungumza kwa muda, akanivuta kwa uaminifu na hatimaye nikatuma kiasi cha pesa shilingi laki tatu sitini.
Baada ya hapo – mawasiliano yakakatika. Hajawahi kujibu tena, na kila dalili zinaonesha kuwa ilikuwa ni njama ya kitapeli.
Ninachotaka kufikisha hapa ni tahadhari kwa wanajamii wengine:
Nimesikitishwa sana kwa kuwa nilikuwa na imani kuwa JamiiForums ni jukwaa salama kwa mijadala na hata biashara, lakini tukio hili limenifungua macho. Natarajia uongozi wa JF wataendelea kuweka mazingira salama kwa wote.
- Jihadharini kabla ya kutuma fedha kwa mtu yeyote mtandaoni.
- Hakikisheni mna uthibitisho wa kutosha kuhusu mtu, huduma, au bidhaa kabla ya kufanya miamala.
- Kama kuna wasiwasi wowote – ni bora kuuliza kwanza hapa JF au kufanya utafiti wa kina.
Nawashukuru kwa kunisoma – na naomba ujumbe huu uwafikie wengi ili wengine wasije wakakumbwa na hali kama yangu.
View attachment 3357376View attachment 3357377
Zipo uzi zinazoelezea kiongozi, zitafute tu humu humu utaziona Mkuu.Sawa mkuu itabidi unipe elimu jinsi ya kuwa verified member kwasababu mimi nauza simu
Tena ni wa hovyo kabisa.Bila kumtaja mhusika, huu uzi ni wa kipumbavu
Pole sana next time kuwa makiniYeah niko mwanza, nilikua nahitaji game ps3