Mrejesho wa Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika 3 - 4 January 2024

Rais kaanzisha 4R kwa lengo la kuelekea kwenye mabadiliko ya katiba. Sasa unasema Rais wamemuomba kwanini unataka ombi lao liwe ni lazima?

Kwani hao Chadema weshikili hati milki ya watanzania? Kwanini wanalazisha takwa lao tu na wenzao wakikataa wanasusa? Lazima 4R zifundishwe kwa watu wote ili ustahimilivu uwepo.

..Na kwanini tufundishwe 4R wakati ni za Samia Suluhu peke yake?

..Uelewa wake kuhusu maridhiano ni tofauti na uelewa wa wengine.
 
..bunge la katiba chini ya Samuel sitta na Samia Suluhu waliandika katiba ambayo ilipaswa kupigiwa kura ya maoni.

..sijui kwanini Rais Samia na wenzake ktk Ccm wamejizimisha data kuhusu katiba waliyoipitisha wakati wa bunge maalum.

..Ndio maana nasema Rais Samia ni ulaghai. Kama ana nia ya dhati kuhusu Katiba mpya angeanza kutetea ile waliyoipitisha akiwa naibu kiongozi wa bunge la katiba.

..Badala yake kila siku anahamisha magoli. Kwanza alianza na kisingizio cha kujenga uchumi. Baadae akaja na kesi ya ugaidi dhidi ya Mwenyekiti Mbowe. Majuzi alileta hoja kwamba Watanzania tunahitaji kupatiwa mafunzo kuhusu Katiba.
Nakusikiliza sana kwa makini. Ndio maana sasa umuhimu wa 4R unapokuja.

Tunajua mchakato wa katiba haukukamilika. Kazi ya Samuel Sitta na Naibu Wake walimaliza kazi yao. Walikamilisha kwa kuandika Katiba inayopendekezwa na wakaikabidhi kwa Rais aliyekuwepo wakati ule.

Kosa na Samia Suluhu ni lipi hapa? Sheria iliyotungwa kuhusiana na Utungaji wa katiba imepitwa na wakati na haiwezi kufanya kazi kwa sasa. Inatakiwa sheria nyingine iundwe. Hapa ndipo kwenye 4R sasa. Je inapoundwa hiyo sheria itaongelea Katiba ya Warioba au Ile ya bunge?

1. Lazima maridhiano yafanyike kipi kinatakiwa kufanyika.

2. Nimuhimu kuwa na ustahimilivu wa kuheshimiana na kuheshimu mawazo ya wengine. Kuacha kujadiliana kwa mihemko.
3. Lazima kurekebisha pale tunapoona tulikosea na kuunda sheria zitakazo tupeleka mbele

4. Kujenga upya mahali palipo bomoka. Kama kuunda katiba mpya its okay.

Sasa tatizo ni nini kuhusu 4R?
 
..Na kwanini tufundishwe 4R wakati ni za Samia Suluhu peke yake?

..Uelewa wake kuhusu maridhiano ni tofauti na uelewa wa wengine.
Kila jumuiya inakuwa na kiongozi mbeba maono. Kwa sasa yeye ndiye anayebeb maono yetu
 
Nakusikiliza sana kwa makini. Ndio maana sasa umuhimu wa 4R unapokuja.

Tunajua mchakato wa katiba haukukamilika. Kazi ya Samuel Sitta na Naibu Wake walimaliza kazi yao. Walikamilisha kwa kuandika Katiba inayopendekezwa na wakaikabidhi kwa Rais aliyekuwepo wakati ule.

Kosa na Samia Suluhu ni lipi hapa? Sheria iliyotungwa kuhusiana na Utungaji wa katiba imepitwa na wakati na haiwezi kufanya kazi kwa sasa. Inatakiwa sheria nyingine iundwe. Hapa ndipo kwenye 4R sasa. Je inapoundwa hiyo sheria itaongelea Katiba ya Warioba au Ile ya bunge?

1. Lazima maridhiano yafanyike kipi kinatakiwa kufanyika.

2. Nimuhimu kuwa na ustahimilivu wa kuheshimiana na kuheshimu mawazo ya wengine. Kuacha kujadiliana kwa mihemko.
3. Lazima kurekebisha pale tunapoona tulikosea na kuunda sheria zitakazo tupeleka mbele

4. Kujenga upya mahali palipo bomoka. Kama kuunda katiba mpya its okay.

Sasa tatizo ni nini kuhusu 4R?

..Majadiliano na Maridhiano ya HAKI yatawezekana ikiwa kutakuwa na usimamizi wa MSULUHISHI anayekubalika na walioko kwenye mazungumzo.

..Mimi naamini Ccm na Cdm walikosea kwenda ktk meza ya mazungumzo bila kwanza kutafuta msuluhishi atakayesimama mazungumzo hayo.

..Tanzania ni mwanachama wa SADC, EAC, AU, na jumuiya nyingine za kimataifa. Tungeweza kabisa kuomba mmoja wa Maraisi wastaafu toka nchi za Afrika aje kutusaidia kutoka pale tulipokosea.
 
..kimekuwa na ucheleweshaji wa makusudi na hujuma dhidi ya mchakato wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

..Mikutano anayoitisha na Tume na vikosi kazi anavyounda ni sehemu ya mkakati wa Rais Samia kupoteza muda ili Katiba Mpya na Tume Huru visipatikane kabla ya uchaguzi, au hata ktk utawala wake.

..Mikutano aliyoitisha na Tume alizounda haijafuatiwa na hatua za dhati za utekelezaji wa maazimio au mapendekezo yaliyotolewa.
Kuundwa kikosi kazi ilikuwa njia ya kupunguza kasi ya kudai katiba na pili, kutupilia mbali rasimu ya Warioba.

Hakukuwepo sababu ya kuunda kikosi kazi kwa kazi iliyofanywa kwa weledi na uadilifu mkubwa na Mzee Warioba, Mzee Butiku, Mzee Salim Ahmed na timu zao. Tulijua hili tangu mwanzo
..Mazungumzo ya maridhiano kati ya chama chake na Chadema yamevunjika na analalamikiwa kwa kukataa sehemu kubwa ya mapendekezo ya wenzake.
Kwasababu hakuwa na nia ya kweli na dhati, alitaka kupoteza muda na amefanikiwa kwa muda, lakini hili jambo lipo mioyoni mwa watu, atadanganywa na kikundi cha 'chawa' ukweli hautabadilika huku ''site'
..Pamoja na Raisi kudai anataka maridhiano lakini ameendelea kuteua maofisa ktk jeshi la Polisi ambao wamekuwa wakilalamikiwa kwa kukiuka haki za wananchi mbalimbali haswa wapinzani.
Waliotenda dhambi na maovu anaowajua kwasababu alikuwa sehemu ya utawala, amewarudisha.

Hakuna maridhiano kwasababu amekumbatia si Polisi tu bali waliofanya mauaji. Wapo karibu naye.
Hakuna maridhiano ni porojo tu za kupoteza muda !
..Mwisho, maridhiano hayawezi kukamilika bila kuwaomba radhi, kuwafuta machozi, na kuwapa haki, Watanzania ambao haki zao zilivunjwa na tawala mbalimbali za nchi hii. Kwa mfano, taifa linapaswa kuelezwa nini kilimtokea Abdulah Kassim Hanga na wengine ambao walikamatwa na vyombo vya dola na hawajapatikana mpaka leo.
Wengine walikamatwa na kupotea akiwa VP, ana habari za nini kilitokea. Hapa ndipo pa kuanzia

Badala ya maridhiano yeye anakumbatia waliofanya uhalifu , wanajulikana na anawajua, anawasitiri kwa 4R
Hakuna mariidhiano ni kupoteza muda tu na hizo 4R ni bla bla !

Nilichobaini hili la 4R limeibuka na kutumiwa na 'Chawa'' lakini hawaelewi linakuja na gharama kubwa.
Rais SSH alikuwa sehemu ya utawala, tutamuuliza anataka maridhiano kwa baya au ovu gani.

Nashukuru sana kwa maelezo yako mazuri na marefu. Umekuwa na msisitizo kuhusu kuwa na katiba mpya. Na umeibua mada ya kuhusu wazanzibar waulizwe. Sasa ninakuuliza nani awaulize hao wazanzibar? Je, huku bara hawatakiwi kuulizwa kuhusu muungano?
Wazanzibar wapewe 'referendum' waamue kama wanataka muungano au hawataki.
Mtanganyika amebeba mzigo wa Muungano, utamuuliza nini kuhusu Muungano?

Mwananchi wa Kigoma anahitaji Burundi na Rwanda zaidi, kama yule wa Mbeya anavyohitaji Malawi n.k. Tunahitaji wanaochangia uchumi wa nchi, si tegemezi

Mtanganyika ata athirika ikiwa kuna mgomo soko la Karikoo, hawataathirika na chochote ikiwa Zanzibar watazuia shughuli au watajizuia kuja Tanganyika. Zanzibar wanaihitaji Tanganyika na si kinyume chake.

Kwa utaratibu wa Dunia, mwenye mamlalamiko hupewa haki, ndivyo ilivyotokea Scotland, East Timor, Eritrea, hata Puerto Rico. Mifano ni mingi, wanaopaswa kuuliza ni Wazanzibar, Ikiwa wanataka Muungano muundo ubadilishwe ili wawajibike katika muungano wasiwe mzigo wa kuchukua na kudai hata kisicho chao.
Kuwauliza wazanzibar na wa bara hayo ndiyo maridhiano kiongozi wangu.
Maridhiano kwani kuna ugomvi gani? Miaka mingi Wazanzibar waliaminisha Dunia wanaonewa. Tumewaonyesha ni wanufaika wa Muungano kuliko waliobeba Muungano ambao ni Watanganyika.

Imedhihirika hawana mchango wowote katika kuendesha muungano au uchumi wa Tanzania.
Siku hizi huwasikii wakidai hawataki muungano, kwasababu wanajua ni wafaidika wakubwa.
Je, tuendelee na ile ya Warioba au tuifanyie marekebisho.
Warioba ndio jibu mengine ni kubabaisha na kupoteza muda! Ipo siku watabaini Rasimu ya Warioba haiepukiki

Wazanzibar walitakiwa waisimamie kwasababu ina unafuu kwao, mbele ya safari watajuta.
Watanganyika wanaitaka nchi yao, itafika mahali Wazanzibar wanaomba 'Muungano' ! Wanauhitaji wao
Nimeongelea kuhusu EAC maana ndiyo direction yetu kuwa na federal state. Sasa unaposema miaka 25, mbona ni michache sana? Kwahiyo tuunde katiba itakayodumu miaka 25 tu? Katiba isiyoangalia mwelekea wa EA federation?
EU ilianza mwaka 1959 kwa taarifa yako hadi leo haijaweza kuwa federal, Waafrika hawawezi!
Mimi nadhani bado 4R zinahitajika. Lazima tukae kama nchi tujadiliane na kuridhiana. Tukienda kwa mihemko tutajikuta tunaunda katiba mbayo haitadumu.
Tunardhiana kwani tumekoseana wapi na kwa jambo gani?
Hatuhitaji 4R tunahitaji Katiba na sheria za nchi. 4R ni kupoteza muda
Yangu ni hayo.
 
..Majadiliano na Maridhiano ya HAKI yatawezekana ikiwa kutakuwa na usimamizi wa MSULUHISHI anayekubalika na walioko kwenye mazungumzo.

..Mimi naamini Ccm na Cdm walikosea kwenda ktk meza ya mazungumzo bila kwanza kutafuta msuluhishi atakayesimama mazungumzo hayo.

..Tanzania ni mwanachama wa SADC, EAC, AU, na jumuiya nyingine za kimataifa. Tungeweza kabisa kuomba mmoja wa Maraisi wastaafu toka nchi za Afrika aje kutusaidia kutoka pale tulipokosea.
Kama nilivyosema hapo awali madai na matakwa yanakuwa ni paradox. Kwa upande mmoja unadai hiki lakini kwa upande mwingine unapinga sehemu ya madai yako.
Mfano unamwambia mtu "Usiingie kwenye maji mpaka utakapojua kuogelea"

Madai ya kuwa na Maridhiano ya HAKI kwa kuweka condition ya kuwa na MSULUHISHI kutoka nje. Sasa huyo msuluhishi kutoka nje anatafutwa na nani? Au kuna watu wanawapendekeza hao wasuluhishi kisha wanapigiwa kura? Je, ni nani atakaye simamia kura za kumpata msuluhishi? Maswali ni mengi mno hayana mwisho.

Kwanza lazima kuwe na nia ya dhati na kuaminiana.

Vilevile suala la kuamua kutafuta msuluhishi wa nje hayo ni maridhiano mzee wangu. Maridhiani ni makubaliano ya pande zote mbili katika jambo fulani.

Kwahiyo Idea yako ya kutafuta msuluhishi wa nje ya nchi sidhani kama yanamashiko.
 
Kuundwa kikosi kazi ilikuwa njia ya kupunguza kasi ya kudai katiba na pili, kutupilia mbali rasimu ya Warioba.

Hakukuwepo sababu ya kuunda kikosi kazi kwa kazi iliyofanywa kwa weledi na uadilifu mkubwa na Mzee Warioba, Mzee Butiku, Mzee Salim Ahmed na timu zao. Tulijua hili tangu mwanzo

NInayaheshimu sana mawazo yako. Lakini nabaki najiuliza sijui kwanini hutaki kuongelea sheria iliyoundwa kwaajili ya mchakato wa katiba. Ule mchakato haukuanzishwa kienyeji tu kulikuwa na Sheria na hadidu za rejea kwaajili ya mchakato wote.

Sasa tukiamua tu tuanze kutekeleza pasipo utaratibu, tutakuwa kama wanyama sasa. Ni muhimu tukawa na utaratibu ambao utakubalika na wengi.
Ndio sasa unakuja umuhimu wa 4R hapa. (Reconciliation, Resilience, Reform and Rebuild)

..Mazungumzo ya maridhiano kati ya chama chake na Chadema yamevunjika na analalamikiwa kwa kukataa sehemu kubwa ya mapendekezo ya wenzake.
Kwasababu hakuwa na nia ya kweli na dhati, alitaka kupoteza muda na amefanikiwa kwa muda, lakini hili jambo lipo mioyoni mwa watu, atadanganywa na kikundi cha 'chawa' ukweli hautabadilika huku ''site'
Ulimesema Matakwa ya Chadema ni Kuwa na Tume ya Haki. Nilikuuliza hiyo tume ya haki inachaguliwa au kuteuliwa na nani? Na wajumbe wake ni akina nani? Bado hujanipatia jibu. Lakini unasema hao Chadema walivunja mazungumzo kutokana na mapendekezo yao kukataliwa. Wana JF wanataka kujua structure ya Tume ya Haki inayopendekezwa na CHADEMA. Na usikimbilie kwenye conclusion kuwaita watu wengine "chawa" wakati bado hujatoa maelezo thabiti.

..Pamoja na Raisi kudai anataka maridhiano lakini ameendelea kuteua maofisa ktk jeshi la Polisi ambao wamekuwa wakilalamikiwa kwa kukiuka haki za wananchi mbalimbali haswa wapinzani.
Waliotenda dhambi na maovu anaowajua kwasababu alikuwa sehemu ya utawala, amewarudisha.

Hakuna maridhiano kwasababu amekumbatia si Polisi tu bali waliofanya mauaji. Wapo karibu naye.
Hakuna maridhiano ni porojo tu za kupoteza muda !
Kwa sababu tumeamua kufunguka; naomba uwataje maafisa japo watano walioteuliwa na Rais huku wanalalamikiwa na wananchi walio wengi. Hao unaosema wametenda dhambi na maovu hebu tutajie dhambi walizo zifanya na maovu yaliyofanywa nao. Kisha tupate kuwajua ili umma uweze kuwatambua na JF pia.

Vilevile tupate maelezo ya kina kuhusu hao maofisa kama walifunguliwa kesi na ikathibitika kuwa wametenda maovu hayo.

..Mwisho, maridhiano hayawezi kukamilika bila kuwaomba radhi, kuwafuta machozi, na kuwapa haki, Watanzania ambao haki zao zilivunjwa na tawala mbalimbali za nchi hii. Kwa mfano, taifa linapaswa kuelezwa nini kilimtokea Abdulah Kassim Hanga na wengine ambao walikamatwa na vyombo vya dola na hawajapatikana mpaka leo.
Wengine walikamatwa na kupotea akiwa VP, ana habari za nini kilitokea. Hapa ndipo pa kuanzia

Badala ya maridhiano yeye anakumbatia waliofanya uhalifu , wanajulikana na anawajua, anawasitiri kwa 4R
Hakuna mariidhiano ni kupoteza muda tu na hizo 4R ni bla bla !

Nilichobaini hili la 4R limeibuka na kutumiwa na 'Chawa'' lakini hawaelewi linakuja na gharama kubwa.
Rais SSH alikuwa sehemu ya utawala, tutamuuliza anataka maridhiano kwa baya au ovu gani.

Umemtaja Abdulah Kassim Hanga na ukasema na wengine. Sina undani sana na huyo mtu uliyemtaja katika nchi ya watu wanaokimbilia 70m. Huyo alitendewa nini na ni kwa sababu ya jambo gani? Isije labda huyo mtu alikuwa na makosa. Sitaki kuongelea personalities kwa sababu mimi siyo wa hivyo bali huwa najadili hoja kwa hoja.

Nchi lazima iwe na dira, na anaye set dira ya nchi ni kiongozi wa nchi husika. Kiongozi wa nchi na Tanzania ni SSH amekuja na falsafa ya 4R. Kwa maana hiyo viongozi wa vyama na serikali ni muhimu kuweza kuitafisri falsafa hii kwa vitendo.

Mimi nadhani wazo la 4R halina matatizo yoyote labda tungekuwa tunajadiliana namna gani tuweze kulitekeleza. Na vilevile tungetaka kujua kwa undani zaidi maana na lengo la hizi 4R.

Nazidi kusisitiza hao wanaoitwa "chawa" waendelee walivyo hivyo lakini sisi GT tufikirie kwa undani zaidi pasipo kwenda kwa mihemko. Hii ni falsafa na siyo kauli mbiu. Tukiweza kuelewa hicho hakika tutaitendea haki.
 
Wazanzibar wapewe 'referendum' waamue kama wanataka muungano au hawataki.
Mtanganyika amebeba mzigo wa Muungano, utamuuliza nini kuhusu Muungano?

Mwananchi wa Kigoma anahitaji Burundi na Rwanda zaidi, kama yule wa Mbeya anavyohitaji Malawi n.k. Tunahitaji wanaochangia uchumi wa nchi, si tegemezi

Mtanganyika ata athirika ikiwa kuna mgomo soko la Karikoo, hawataathirika na chochote ikiwa Zanzibar watazuia shughuli au watajizuia kuja Tanganyika. Zanzibar wanaihitaji Tanganyika na si kinyume chake.

Kwa utaratibu wa Dunia, mwenye mamlalamiko hupewa haki, ndivyo ilivyotokea Scotland, East Timor, Eritrea, hata Puerto Rico. Mifano ni mingi, wanaopaswa kuuliza ni Wazanzibar, Ikiwa wanataka Muungano muundo ubadilishwe ili wawajibike katika muungano wasiwe mzigo wa kuchukua na kudai hata kisicho chao.
Nazidi kuuliza maswali ili kuweza kujua zaidi ya hiki ulichoandika. Umesema wazanzibar pekee yao ndio wapewe 'referendum' na ukaeleza sababu zake. Ukakasi wangu ni nani awape hiyo "referendum" Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar au Serikali ya Muungano? Hapa nakazia nataka unipe jibu ya hili.

Wakati nasubiria jibu ya jambo nililouliza nataka kuendelea na maswali yangu ya kidadisi, Kwanini unawabagua watu waliotoka Tanganyika, je hawana cha kuongea kuhusu muungano? Je, wanauhitaji muungano au la? Kwanini na wenyewe wasipewe referendum?

Kwa mujibu wa maelezo yako umesema watu kutoka Tanganyika wamekuwa wakiwabeba wazanzibar na wazanzibar wamegundua kuwa wanabebwa na watanganyika; je, huoni kuwa wale wanaotakiwa kufanyiwa referendum ni watanganyika?
Maridhiano kwani kuna ugomvi gani? Miaka mingi Wazanzibar waliaminisha Dunia wanaonewa. Tumewaonyesha ni wanufaika wa Muungano kuliko waliobeba Muungano ambao ni Watanganyika.

Imedhihirika hawana mchango wowote katika kuendesha muungano au uchumi wa Tanzania.
Siku hizi huwasikii wakidai hawataki muungano, kwasababu wanajua ni wafaidika wakubwa.
Maridhiano yanafanyika kama kuna pande mbili au zaidi zinatofautina kwenye mitazamo, imani nk. Siyo ungomvi pekee yake ndugu yangu.

Tayari Zanzibar na Bara kuna mitazamo ambayo inakinzana. Lazima kukaa pamoja na kuweka misingi ambayo iteleta kuelewana. Hayo ndiyo maridhiano. Sasa kama imedhihirika hawana mchango wowote katia muungano sasa tufanye nini? Unapendekeza jambo gani lifanyike?

Warioba ndio jibu mengine ni kubabaisha na kupoteza muda! Ipo siku watabaini Rasimu ya Warioba haiepukiki

Wazanzibar walitakiwa waisimamie kwasababu ina unafuu kwao, mbele ya safari watajuta.
Watanganyika wanaitaka nchi yao, itafika mahali Wazanzibar wanaomba 'Muungano' ! Wanauhitaji wao
Naendelea kusema mchakato wa katiba iliyopendekezwa na ile nyingine inayoitwa ya Warioba iliundwa kwa mujibu wa sheria. Na sheria hiyo haiwezi kufanya kazi tena kwa sasa. Wewe binafsi unataka rasimu ya katiba ya Warioba ndiyo iwe katiba ya Tanzania, je, huoni kuwa tayari sheria yake kwa sasa haifanyi kazi? Na huoni kuwa hiyo rasimu ilitakiwa kuingizwa kwenye bunge maalum la katiba ili ifanyiwe marekebisho?

Je tuunde tena bunge maalum la katiba ili tuijadili rasimu ya warioba? Nataka unieleze kwa kina katika utatanishi huu wa kisheria unataka Serikali ya SSH ifanye nini kwa sasa?

EU ilianza mwaka 1959 kwa taarifa yako hadi leo haijaweza kuwa federal, Waafrika hawawezi!
Nashindwa kukuelewa sasa maana wewe umesema EA federal state inaweza kupatika kwa miaka 25. Nikakujibu kwahiyo tuunde katiba ya miaka 25 tu? Umekuja kuibua issue ya EU huku ukikwepa mada husikia. Unataka sasa tuanze kuongelea issue ya EU na kuacha kuongelea suala la msingi la kuhusu katiba yetu ya Tanzania.
MIMI MWENYEWE NATAKA TUWE NA KATIBA. Lakini niambie tuwe na katiba hiyo kwa utaratibu upi?

Tunardhiana kwani tumekoseana wapi na kwa jambo gani?
Hatuhitaji 4R tunahitaji Katiba na sheria za nchi. 4R ni kupoteza muda
Ona sasa 4R siyo kitu unatakiwa ukibebe, 4R ni falsafa inatakiwa ikae kwenye ubongo na itekelezwe. 4R siyo maridhiano pekee bali kuna Reforms, Resilience na Rebuild.

Sasa unaposema unahitaji Katiba na Sheria za nchi hayo ni sehemu ya 4R kwenye kipengere cha reforms. Ndiyo maana kwa sasa kuna miswada ya sheria inayohusu Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa nk.

Ndiyo maana kwenye mada hii tunajadili mrejesho wa mkutano uliofanyika kuhusu sheria hizo. Sasa wewe unataka watu wote waamini unachokiamini wewe, comrade wangu imani yako baki nayo lakini unachotakiwa uwe na ustahimilivu maana na wenzako wapo na imani zao.
 
..hana maono.

..acheni kujitoa ufahamu.
Rais ni taasisi kijana mwenzangu. Kwahiyo unataka kusema taasisi ya Rais haina maono lakini wewe individual upo na maono ya nchi? Kwanza nakuuliza tu falsafa ya 4R umeielewa?
 
Nimekuuliza unalijia lengo la Bunge Maalum la katiba? Je unazijua hadidu za rejea za bunge maalum la katiba?
Sina shaka ya nilichoongea, labda ww uliyesahau kuwa wahuni waliendelea kuchezea maoni ya wananchi, huku wakibadili kanuni Kila mara Iko kukamilisha uhuni wao. Au unadhani kulikuwa na kitu kugumu sana kueleweka kwenye bunge lile? Au umedhani ukiniambia nalijua lengo la bunge la katiba ndio utanichanganya ama?
 
Rais ni taasisi kijana mwenzangu. Kwahiyo unataka kusema taasisi ya Rais haina maono lakini wewe individual upo na maono ya nchi? Kwanza nakuuliza tu falsafa ya 4R umeielewa?
Hiyo kwamba urais ni taasisi ni neno Lilo kinadharia zaidi kuliko uhalisia. Na huwa mnatamka maneno haya kama fashion. Ingekuwa Rais ni taasisi tusingeona tabia binafsi za Marais wetu kugeuka ndio mtazamo wa wao kuendesha nchi.
 
Nazidi kuuliza maswali ili kuweza kujua zaidi ya hiki ulichoandika. Umesema wazanzibar pekee yao ndio wapewe 'referendum' na ukaeleza sababu zake. Ukakasi wangu ni nani awape hiyo "referendum" Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar au Serikali ya Muungano? Hapa nakazia nataka unipe jibu ya hili.
Kuna njia mbili zinazoweza kutumika.
Moja, kupitia Baraza la Wawakilishi wanaweza kuja na azimio la kura ya maoni (referendum).
Kuna Wabunge 5 kutoka BLW wanaoingia Bunge la JMT.

Pili, katika masuala yanayohitaji 2/3 katika Bunge la JMT ni suala la Muungano. Wazanzibar wanaweza kutumia 2/3 kudai referendum au ku-block kila agenda ndani ya Bunge wakidai mswada upelekwe wa referendum.

Kumbuka kwamba idadi ya Wazanzibar ndani ya Bunge la JMT inaweza kuathiri maamuzi hata yasiyo ya Muungano. Kwa hili la Muungano wanayo nafasi kubwa sana, hawajaweza kuitumia.

Lakini pia kuna njia yingine ya mkato, ni wao kukataa kuhudhuria mikutano ya Bunge, hilo tu linazuai shughuli zote za Bunge la JMT kwasababu Zanzibar haipo hata kama yanayojadiliwa ni ya Tanganyika! wierd eh!

Wakati nasubiria jibu ya jambo nililouliza nataka kuendelea na maswali yangu ya kidadisi, Kwanini unawabagua watu waliotoka Tanganyika, je hawana cha kuongea kuhusu muungano? Je, wanauhitaji muungano au la? Kwanini na wenyewe wasipewe referendum?
1. Wenye malalamiko ya kuonewa ni Wazanzibar. 2 Kanuni za kawaida ni haki kupewa mlalamikaji kama nilivyokupa mifano. Ethiopia haikupiga kura, Eritrea ilipiga, ndivyo ilivyokuwa kwa Scotland , Timor, Quebec Canada n.k.

Kumbuka kwamba Watanganyika wanapoteza zaidi kwa kuhudumia Muungano na SMZ kwa pamoja.

Kwa mujibu wa maelezo yako umesema watu kutoka Tanganyika wamekuwa wakiwabeba wazanzibar na wazanzibar wamegundua kuwa wanabebwa na watanganyika; je, huoni kuwa wale wanaotakiwa kufanyiwa referendum ni watanganyika
Elewa Tanganyika ndio Tanzania kwasasa. Hakuna ''admin. structure'' inayoweza kusimama as 'an entity'.
Ni kwa msingi huo rasilimali za Tanganyika zinatumika kama za Muungano hata kule ambapo si pa muungano.

Ndani ya Bunge la JMT hakuna Wabunge wa Tanganyika, lakini kuna Wabunge wa Zanzibar! umeelewa?
Hakuna Mbunge wa JMT wa Bara anayeweza kufikisha mswada kwa niaba ya Tanganyika kwasababu haipo.

Bunge la Tanganyika ni la Muungano, Rais wa Tanzania basically ni wa Tanganyika, ataitisha vipi referendum ya Tanzania akadai ni ya Tanganyika!

Ni kwasababu hizo Tanganyika inakuwa abused kwa jina la Tanzania. Mfano, Zanzibar wanachukua kodi za TRA fedha za huduma za uhamiaji zinabaki huko.

Gharama za Wafanyakazi wa TRA na Uhamiaji zinalipwa na JMT kwasababu ni suala la Muungano ambazo ni kodi za Watanganyika kwa jina la Tanzania.

Maridhiano yanafanyika kama kuna pande mbili au zaidi zinatofautina kwenye mitazamo, imani nk. Siyo ungomvi pekee yake ndugu yangu.
Hakuna kutofuatiana mitazamo na Zanzibar. Kinachotakiwa ni kusimamisha 'abuse' ya kutumia kodi za Watanganyika vibaya, na kuhakikisha Zanzibar inakuwa mshiriki na inawajibika katika Muungano si kulalama bila ushiriki.
Tayari Zanzibar na Bara kuna mitazamo ambayo inakinzana. Lazima kukaa pamoja na kuweka misingi ambayo iteleta kuelewana. Hayo ndiyo maridhiano. Sasa kama imedhihirika hawana mchango wowote katia muungano sasa tufanye nini? Unapendekeza jambo gani lifanyike?
Tunakaa pamoja na Zanzibar kujadili nini? Ikiwa wanataka Muungano lazima washiriki na si tegemezi.

Pili, Katiba mpya itakayoweka Tanganyika na uongozi wake ili isimamie rasilimali zake bila kuwa 'abused'
Mwananchi wa Temeke na Manzese analipa bili ya umeme na kodi zaidi Wazanzibar watumie umeme bure

Bilioni 60 ni kiasi kikubwa sana kwa shirika kama Tanesco. Hii ni 'abuse ' ya hali ya juu sana.
Ni abuse kwasababu marais waliopita hawakukubali ujinga huo! Waliona si haki ni abuse kwa Tanganyika.
Naendelea kusema mchakato wa katiba iliyopendekezwa na ile nyingine inayoitwa ya Warioba iliundwa kwa mujibu wa sheria. Na sheria hiyo haiwezi kufanya kazi tena kwa sasa. Wewe binafsi unataka rasimu ya katiba ya Warioba ndiyo iwe katiba ya Tanzania, je, huoni kuwa tayari sheria yake kwa sasa haifanyi kazi? Na huoni kuwa hiyo rasimu ilitakiwa kuingizwa kwenye bunge maalum la katiba ili ifanyiwe marekebisho?
Sheria zinatungwa na Bunge , zinafutwa na Bunge kila siku. Sheria inaweza kurudishwa na kuhuishwa
Hivi Kikosi kazi kimeanzishwa kwa sheria gani ya Bunge!
Je tuunde tena bunge maalum la katiba ili tuijadili rasimu ya warioba? Nataka unieleze kwa kina katika utatanishi huu wa kisheria unataka Serikali ya SSH ifanye nini kwa sasa?
Rasimu ya Warioba imebeba maoni ya Wananchi na ndipo pa kuanzia. Tunakwendaje mbele ndio mjadala.
Haya ya Mkandara si yametumia pesa, ni kwa sheria gani iliyoanzisha na kwa ridhaa ya chombo gani.
Nashindwa kukuelewa sasa maana wewe umesema EA federal state inaweza kupatika kwa miaka 25. Nikakujibu kwahiyo tuunde katiba ya miaka 25 tu? Umekuja kuibua issue ya EU huku ukikwepa mada husikia. Unataka sasa tuanze kuongelea issue ya EU na kuacha kuongelea suala la msingi la kuhusu katiba yetu ya Tanzania.
MIMI MWENYEWE NATAKA TUWE NA KATIBA. Lakini niambie tuwe na katiba hiyo kwa utaratibu upi?
25 nilisema kama 'nominal' tu kuonyesha ilivyo impossibe, ukweli ni kwamba hatuwezi kuwa na federation
Nkrumah, Nyerere, Biumediane, Gamal Abdel Nasar, Sekoutoure, Obote, walishindwa ! hawa wa leo hawawezi.
Ona sasa 4R siyo kitu unatakiwa ukibebe, 4R ni falsafa inatakiwa ikae kwenye ubongo na itekelezwe. 4R siyo maridhiano pekee bali kuna Reforms, Resilience na Rebuild.
Falsafa! tafadhali tuache hili la 4R. Ni kupoteza muda hakuna falsafa yoyote!
Sasa unaposema unahitaji Katiba na Sheria za nchi hayo ni sehemu ya 4R kwenye kipengere cha reforms. Ndiyo maana kwa sasa kuna miswada ya sheria inayohusu Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa nk.
Hatuhitaji 4R kwa sheria za nchi, hayo ni maono ya mtu anaweza kuwa nayo.
Kama Taifa hatuoni umuhimu zaidi ya kupotezeana muda tu. Hivi hawa si walikuwa katika serikali zilizopita! kipi kipya walifanya zaidi ya umasikini miaka 60 leo wanakipi cha kusema.

Falsafa tuongelee akina Nyerere!
Ndiyo maana kwenye mada hii tunajadili mrejesho wa mkutano uliofanyika kuhusu sheria hizo. Sasa wewe unataka watu wote waamini unachokiamini wewe, comrade wangu imani yako baki nayo lakini unachotakiwa uwe na ustahimilivu maana na wenzako wapo na imani zao.
Hakuna mabadiliko ya sheria bila kufumua Katiba. Tume ya uchaguzi ipo kisheria utawezaje kubadili tume bila kugusa katiba. Sitaki mtu aamini ninachoamini , kila mtu ana mawazo yake na yaheshimiwe kama yangu pia.

Tunachosema wengine ni kwamba mikutano inayofanyika sasa hivi ni kupoteza muda, fedha na ulaghai tu hakuna chochote cha maana. Kama ndio 4R basi ni dead on arrival. Tunahitaji kuikwamua nchi !
 
Kuna njia mbili zinazoweza kutumika.
Moja, kupitia Baraza la Wawakilishi wanaweza kuja na azimio la kura ya maoni (referendum).
Kuna Wabunge 5 kutoka BLW wanaoingia Bunge la JMT.

Pili, katika masuala yanayohitaji 2/3 katika Bunge la JMT ni suala la Muungano. Wazanzibar wanaweza kutumia 2/3 kudai referendum au ku-block kila agenda ndani ya Bunge wakidai mswada upelekwe wa referendum.

Kumbuka kwamba idadi ya Wazanzibar ndani ya Bunge la JMT inaweza kuathiri maamuzi hata yasiyo ya Muungano. Kwa hili la Muungano wanayo nafasi kubwa sana, hawajaweza kuitumia.

Lakini pia kuna njia yingine ya mkato, ni wao kukataa kuhudhuria mikutano ya Bunge, hilo tu linazuai shughuli zote za Bunge la JMT kwasababu Zanzibar haipo hata kama yanayojadiliwa ni ya Tanganyika! wierd eh!

1. Wenye malalamiko ya kuonewa ni Wazanzibar. 2 Kanuni za kawaida ni haki kupewa mlalamikaji kama nilivyokupa mifano. Ethiopia haikupiga kura, Eritrea ilipiga, ndivyo ilivyokuwa kwa Scotland , Timor, Quebec Canada n.k.

Kumbuka kwamba Watanganyika wanapoteza zaidi kwa kuhudumia Muungano na SMZ kwa pamoja.

Elewa Tanganyika ndio Tanzania kwasasa. Hakuna ''admin. structure'' inayoweza kusimama as 'an entity'.
Ni kwa msingi huo rasilimali za Tanganyika zinatumika kama za Muungano hata kule ambapo si pa muungano.

Ndani ya Bunge la JMT hakuna Wabunge wa Tanganyika, lakini kuna Wabunge wa Zanzibar! umeelewa?
Hakuna Mbunge wa JMT wa Bara anayeweza kufikisha mswada kwa niaba ya Tanganyika kwasababu haipo.

Bunge la Tanganyika ni la Muungano, Rais wa Tanzania basically ni wa Tanganyika, ataitisha vipi referendum ya Tanzania akadai ni ya Tanganyika!

Ni kwasababu hizo Tanganyika inakuwa abused kwa jina la Tanzania. Mfano, Zanzibar wanachukua kodi za TRA fedha za huduma za uhamiaji zinabaki huko.

Gharama za Wafanyakazi wa TRA na Uhamiaji zinalipwa na JMT kwasababu ni suala la Muungano ambazo ni kodi za Watanganyika kwa jina la Tanzania.

Hakuna kutofuatiana mitazamo na Zanzibar. Kinachotakiwa ni kusimamisha 'abuse' ya kutumia kodi za Watanganyika vibaya, na kuhakikisha Zanzibar inakuwa mshiriki na inawajibika katika Muungano si kulalama bila ushiriki.

Tunakaa pamoja na Zanzibar kujadili nini? Ikiwa wanataka Muungano lazima washiriki na si tegemezi.

Pili, Katiba mpya itakayoweka Tanganyika na uongozi wake ili isimamie rasilimali zake bila kuwa 'abused'
Mwananchi wa Temeke na Manzese analipa bili ya umeme na kodi zaidi Wazanzibar watumie umeme bure

Bilioni 60 ni kiasi kikubwa sana kwa shirika kama Tanesco. Hii ni 'abuse ' ya hali ya juu sana.
Ni abuse kwasababu marais waliopita hawakukubali ujinga huo! Waliona si haki ni abuse kwa Tanganyika.

Sheria zinatungwa na Bunge , zinafutwa na Bunge kila siku. Sheria inaweza kurudishwa na kuhuishwa
Hivi Kikosi kazi kimeanzishwa kwa sheria gani ya Bunge!

Rasimu ya Warioba imebeba maoni ya Wananchi na ndipo pa kuanzia. Tunakwendaje mbele ndio mjadala.
Haya ya Mkandara si yametumia pesa, ni kwa sheria gani iliyoanzisha na kwa ridhaa ya chombo gani.

25 nilisema kama 'nominal' tu kuonyesha ilivyo impossibe, ukweli ni kwamba hatuwezi kuwa na federation
Nkrumah, Nyerere, Biumediane, Gamal Abdel Nasar, Sekoutoure, Obote, walishindwa ! hawa wa leo hawawezi.

Falsafa! tafadhali tuache hili la 4R. Ni kupoteza muda hakuna falsafa yoyote!

Hatuhitaji 4R kwa sheria za nchi, hayo ni maono ya mtu anaweza kuwa nayo.
Kama Taifa hatuoni umuhimu zaidi ya kupotezeana muda tu. Hivi hawa si walikuwa katika serikali zilizopita! kipi kipya walifanya zaidi ya umasikini miaka 60 leo wanakipi cha kusema.

Falsafa tuongelee akina Nyerere!

Hakuna mabadiliko ya sheria bila kufumua Katiba. Tume ya uchaguzi ipo kisheria utawezaje kubadili tume bila kugusa katiba. Sitaki mtu aamini ninachoamini , kila mtu ana mawazo yake na yaheshimiwe kama yangu pia.

Tunachosema wengine ni kwamba mikutano inayofanyika sasa hivi ni kupoteza muda, fedha na ulaghai tu hakuna chochote cha maana. Kama ndio 4R basi ni dead on arrival. Tunahitaji kuikwamua nchi !
Nitakuelimisha vizuri kesho. Kwa sasa ngoja nipumuzike.
 
NInayaheshimu sana mawazo yako. Lakini nabaki najiuliza sijui kwanini hutaki kuongelea sheria iliyoundwa kwaajili ya mchakato wa katiba. Ule mchakato haukuanzishwa kienyeji tu kulikuwa na Sheria na hadidu za rejea kwaajili ya mchakato wote.

Sasa tukiamua tu tuanze kutekeleza pasipo utaratibu, tutakuwa kama wanyama sasa. Ni muhimu tukawa na utaratibu ambao utakubalika na wengi.
Ndio sasa unakuja umuhimu wa 4R hapa. (Reconciliation, Resilience, Reform and Rebuild)

Ulimesema Matakwa ya Chadema ni Kuwa na Tume ya Haki. Nilikuuliza hiyo tume ya haki inachaguliwa au kuteuliwa na nani? Na wajumbe wake ni akina nani? Bado hujanipatia jibu. Lakini unasema hao Chadema walivunja mazungumzo kutokana na mapendekezo yao kukataliwa. Wana JF wanataka kujua structure ya Tume ya Haki inayopendekezwa na CHADEMA. Na usikimbilie kwenye conclusion kuwaita watu wengine "chawa" wakati bado hujatoa maelezo thabiti.

Kwa sababu tumeamua kufunguka; naomba uwataje maafisa japo watano walioteuliwa na Rais huku wanalalamikiwa na wananchi walio wengi. Hao unaosema wametenda dhambi na maovu hebu tutajie dhambi walizo zifanya na maovu yaliyofanywa nao. Kisha tupate kuwajua ili umma uweze kuwatambua na JF pia.

Vilevile tupate maelezo ya kina kuhusu hao maofisa kama walifunguliwa kesi na ikathibitika kuwa wametenda maovu hayo.

Umemtaja Abdulah Kassim Hanga na ukasema na wengine. Sina undani sana na huyo mtu uliyemtaja katika nchi ya watu wanaokimbilia 70m. Huyo alitendewa nini na ni kwa sababu ya jambo gani? Isije labda huyo mtu alikuwa na makosa. Sitaki kuongelea personalities kwa sababu mimi siyo wa hivyo bali huwa najadili hoja kwa hoja.

Nchi lazima iwe na dira, na anaye set dira ya nchi ni kiongozi wa nchi husika. Kiongozi wa nchi na Tanzania ni SSH amekuja na falsafa ya 4R. Kwa maana hiyo viongozi wa vyama na serikali ni muhimu kuweza kuitafisri falsafa hii kwa vitendo.

Mimi nadhani wazo la 4R halina matatizo yoyote labda tungekuwa tunajadiliana namna gani tuweze kulitekeleza. Na vilevile tungetaka kujua kwa undani zaidi maana na lengo la hizi 4R.

Nazidi kusisitiza hao wanaoitwa "chawa" waendelee walivyo hivyo lakini sisi GT tufikirie kwa undani zaidi pasipo kwenda kwa mihemko. Hii ni falsafa na siyo kauli mbiu. Tukiweza kuelewa hicho hakika tutaitendea haki.

Kuhusu Tume ya Haki, Ukweli, na Maridhiano, tunaweza kuangalia na kujifunza toka nchi rafiki ambazo ziliwahi kuunda tume hiyo.

Wazo la 4R linaonekana ni mikusanyiko tu wa maneno kwasababu halikufuatiwa na utekelezaji wa wazo hilo.

NB:

Kuhusu Abdullah Kassim Hanga unaweza kutafuta habari zake kwani suala lake limezungumziwa na wanaharakati wengi wa haki za binadamu. Lakini kwa kifupi ni kwamba alipotezwa na vyombo vya dola.
 
Back
Top Bottom