Mrejesho wa taarifa ya ajali iliyotokea Kisutu mnamo majira ya saa 05:45

Point of corrections, Gari ndogo ilitokea maeneo ya mnazimmoja kuelekea posta Mpya
 
Siku zote una akili moja imetangulia mbele hongera sana
 
Wa Rav 4 kama kaenda kugonga Puma itakuwa ni kiwewe kile [emoji1787] maana hapo walipo hadi kuifikia Puma ni mitaa miwili mbele then akunje kulia [emoji1787]
Alikua anakimbia baada ya kusababisha ajali hivyo kiwewe ndio kimemtoa nje ya box! Dharau sana!
 
Makosa yake ya kiuandishi ni madogo sana. Tambua kwenye taasisi kubwa huwa kunakuwa na afisa habari ambayo kazi zake ndo kama hiyo. Huyo Afande kajitahidi.
Madogo Sana,?

Flame- frame
Itirafu- hitilafu
Sheli ya puma- petrol station ya puma

Wana Hali sio nzuri Sana - Wana Hali mbaya

Yaani makosa kibao ya kisarufi na kilugha bado huoni ?
 
Yule jamaa wa rav 4 anaingiaje barabara kubwa mzima mzima!!? Kuna watu wanadharau sana barabarani na haya ndio matokeo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…