PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wana njaa kali sana hawa,hakuna kilichowapeleka huko zaidi ya njaa na tamaa
 
sasa shida iko wapi mumemwona alikuwa na matatizo haya kajiondoa mbona bado.mnachungia alikoenda utadhani madereva wa fuso
 
Inaonekana kama CHADEMA chini ya TAL ni hatari kwa CCM kuliko shida zinazowatesa wananchi kwa miongo kadhaa.
 
Huu uharamia wao walidhani CDM itatetereka, ndiyo kwanza Mwamba (Lissu) leo ameiamsha mioyo ya Watanzania mahakamani.....He looks strong
na lengo lao ni hilo kwamba cdm iteteleke, hivi kweli kwamba Mrema ana ushawishi kuliko Dr Slaa πŸ˜€
 

Mbona Boni yai ni full kujitambua na kujitatjmini? Hawa kina Fundi Chundo, Nyanye Go na wenzao kama walinufaika na udalali, sisi tunataka katiba mpya sasa!



Nani kasema kutereza hakumo?

Mbona kina Slaa, Drlfter, Kilewela, binti viziwi, karamu, Retiree, joka mkuu, Jolojik na wenzao tuko nao bega na jahazi linasonga?

Wapi walisema majembe au kuwa hata mashoka hayakwaani?

"Yaliwashinda watoto mapacha sembuse miye nawe Neema?" 🎼🎼🎡🎡

Mwendo mdundo, madalali na uchawa big NO!

Wametuchelewesha mno. Wenye kutaka kwenda na wakwendree!

Au nasema Uongo?
 
John Mrema kafutwa kazi, sasa mlitaka akalime? ukifukuzwa crdb ukaajiriwa dcb na ukapata mshahara mnono shida iko wapi?
Well said . Watanganyika wanafiki sana. Ukifa wanachangia jeneza ila ukiwa hai hata paracetamol hupati.
 
Kwa hiyo wataendeleza ilani ya chaumama ya kula ubwabwa au
wanaenda na sera mpya? au ni kula ubwabwa kwa kwenda mbele
 
Wah
cdm hq kimekuwa kijiwe cha wakurya na wanyaturu, kha hatamie ningelala mbele
wahi kabla hujachelewa hujachelewa,CDM nimeamini sasa imekombolewa
mpaka sasa yameongezwa majimbo nane ya uchaguzi,wakiwapa na kiti kimoja cha upendeleo
kimyaaaaa.
 
Naona Mzee Rungwe kashapiga mpunga wake anawachora tu, yule Mzee ni mwamba, siasa sio kipaumbele kwake.
 
katiba iliyopendekezwa na bunge la katiba ipo, bunge la katiba lili iwasilisha kwa Kikwete na Dr.Sheni baada ya kumaliza mchakato, tunasubiri ipelekwe bungeni ikapigiwe kura za ndiyo katika bunge la ccm.

Nashangaa mpaka sasa ccm wako kimya.

Chadema wanataka reform za kanuni za uchaguzi wimbo wa katiba mpya wameuacha kwa sasa.
 

Reforms ndiyo mwanzo wa hiyo Katiba mpya - mwisho wa matatizo na polisi wa aina hizi:





Wasioona umuhimu wa no Reforms no elections hawawezi kuwa wenzetu ng'ooo!
 
Waacheni wakatimize ndoto zao, ubunge wa Segerea nje nje kwa Mrema alafu chadema wanataka wazime ndoto zake! Devo nae Morogoro mjini kumeitika alafu Chadema inamletea habar za No reforms No Election wakati uzee nao unampeleka puta!
Hata Sipunda alivoona Nccr Mageuzi inataka kumzimia ndoto za kuwa mwenyekiti wa chama alitimkia Chauma na sasa ni mwenyekiti. Waacheni wabunge na madiwani watarajiwa watufundishe namna ya kufanya siasa za ndoto.
 
ngoja tuone maana hatuwezi sema lolote . kama wamekwenda kupata vyeo na wakavipata, then they have satisfiied their needs to make a shift!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…