PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Hao washapotea kisiasa
 
Hahaa timing sio, but leo ngumu kuzima upepo wa TAL.
 
Yeah na vyeo viko hivi
Mrema, Kigaila, Salum na Devotha Minja wameingia kikao cha kamati kuu ambapo watapewa vyeo
1. Kigaila makamu mwenyekiti bara
2. Salu Mwalim makamu mwenyekiti Zanzibar
3. Mrema Katibu mkuu
4. Devotha Minja atakuwa kiongozi wa wanawake.
 
Waitishe mkutano wa hadhara tuone
 
Ni kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
Wameenda kukiteka Chauma, hawako kujenga chama, mbio zitakoma baada ya uchaguzi.
 
Kwani wewe hutaki wajiunge na chama kingine? Si mlisema wanatumiwa na CCM na kwamba wanaenda kujiunga na CCM?. Nyumbu bwana shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…