PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chauma 🤣🤣🤣
 
Kwahiyo kwa hesabu hapo Zitto na ACT yake wanapoteza, au kugawana na Chauma.
 
Mkuu, labda wanadhani ni Sidiemu ile, seems CHAUMA na CHADEMA majina yamewachanganya kwa jinsi yanavyosawiana?!
 
Ajenda yao kubwa ikiwa ni Chadema watafeli kabla hawajaanza, ikiwa na mwananchi wanaweza sikilizwa.
 
Kwahiyo kwa hesabu hapo Zitto na ACT yake wanapoteza, au kugawana na Chauma.
Unaona jinsi Russia anavyojitahidi kutengeneza buffer zone - no man's land - kule Ukreni, same na hapa kwetu hiki chama inaelekea ni buffer party ya kuzuia mishale mikali ya Sidiemu isifike Sisiemu Lumumba.

Sasa ni kung'atana CHAUMA kwa CHADEMA, huku mama la mama Sisiemu yuko palee anachekelea na kujizolea heshima na kura kedekede.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…