Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

View: https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj

Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.

Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu wa mabwana hivyo kashindwa kutaja jina sahihi, kamtaja bwana Beni kumbe sio Beni aliyetoa zawadi ya gari.

Ndipo tulipo na mahusiano ya kisasa. Vijana mna kazi sana kutafuta walau wadada wenye nafuu, hii mbinu nimeikubali.

Chanzo: Global TV Online.

Dada anaenda kuweka balance kwenye udanganyifu
Maana equation ilkuwa inaelemewa,, wanaume walikuwa wanatuzidi udanganyifu, sasa hivi ubao unasoma 3_3.

Hatari sana.

Tuwe waaminifu Kwa wenzi wetu na kutosheka na hali zao.
 
Dada anaenda kuweka balance kwenye udanganyifu
Maana equation ilkuwa inaelemewa,, wanaume walikuwa wanatuzidi udanganyifu, sasa hivi ubao unasoma 3_3.

Hatari sana.

Tuwe waaminifu Kwa wenzi wetu nankutishika na hali zao.
Ubao unasoma ngapi ngapi🤣 ni kama vile liverkuku anashinda 3-0 HT, then FT ni 3-3....
 
Kuna watu wana moyo wa utoaji aisee!

Yaani una mpa gari Mpenzi tu, ambaye unaweza kuta amewapanga zaidi ya 10 na wote hamjuani 🙌

Hiyo gari si bora angempa zawadi Mama yake mzazi kuliko hawa wasambasa UTI sugu, Kaswende na HIV
Babu na wewe Nini? Wewe umeshazeeka umekuwa kibogoyo, waache vijana wavunje mifupa meno bado Iko 😁😁😁watu Wana pesa zao mjini halafu sio wabahili kama Robert Heriel Mtibeli na nduguye Extrovert
 
View: https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj

Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.

Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu wa mabwana hivyo kashindwa kutaja jina sahihi, kamtaja bwana Beni kumbe sio Beni aliyetoa zawadi ya gari.

Ndipo tulipo na mahusiano ya kisasa. Vijana mna kazi sana kutafuta walau wadada wenye nafuu, hii mbinu nimeikubali.

Chanzo: Global TV Online.

Mafeminist ya jf yatakuja hapa na kumlaumu jamaa kwamha hana upendo wa kweli kwanini kama "anampenda asimpe tu"

kwa mafeminist wao kila blame huitwist kwa mwanaume yani "kila kosa hua ni la mwanaume" ngoja waje uone.
 
Back
Top Bottom