Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
View: https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj
Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.
Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu wa mabwana hivyo kashindwa kutaja jina sahihi, kamtaja bwana Beni kumbe sio Beni aliyetoa zawadi ya gari.
Ndipo tulipo na mahusiano ya kisasa. Vijana mna kazi sana kutafuta walau wadada wenye nafuu, hii mbinu nimeikubali.
Chanzo: Global TV Online.
Dada anaenda kuweka balance kwenye udanganyifu
Maana equation ilkuwa inaelemewa,, wanaume walikuwa wanatuzidi udanganyifu, sasa hivi ubao unasoma 3_3.
Hatari sana.
Tuwe waaminifu Kwa wenzi wetu na kutosheka na hali zao.