Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

Kuna watu wana moyo wa utoaji aisee!

Yaani una mpa gari Mpenzi tu, ambaye unaweza kuta amewapanga zaidi ya 10 na wote hamjuani 🙌

Hiyo gari si bora angempa zawadi Mama yake mzazi kuliko hawa wasambasa UTI sugu, Kaswende na HIV
Wanawake wenye UTI wamekua wengi sana kama vibanda vya kuchomea mahindi mtaani
 
Ujana ni kazi.

Kuna mdogo wa rafiki yangu kafilisiwa na mwanamke nsomi wa Kiunguja ndani ya miaka 5.

Toka ubilionea kwa viwango vyaTanzania, mpaka ubaoni hajui la kufanya.

Mwanamke anasema wazi, nilipokupenda ulikuwa na pesa, sasa katafute zingine utanikuta nipo tu.

Nawashauri vijana wacheni wazee wenu wawatafutie wake wa kuowana nao, tena muoane wakati wa dhiki, siyo wakati wa faraja.
 
Hahaha...............hatari sana, enzi za Ujana niliwahi kumnunulia Mchumba baiskeli kama huyo jamaa alivyofanya, lakini hadi leo hii nikikumbuka roho inaniuma bado 😅

Kweli kutoa ni moyo 🏃🏃
🤣🤣Babu,hiyo baiskeli lazima ilikuwa phonex........
Kumbe Babu ungekuwa kijana zama hizi ungehonga hata Vanguard wewe!
 
Back
Top Bottom