Hao wabunge wote wa kubebwa na mbeleko ya Mwendazake, hivi Sasa matumbo motoMrisho Gambo alipewa ubunge wa bure na Magufuli , sasa amerukwa na akili baada ya kujua kwamba hana tena nafasi , maana siasa za kubebana zimezikwa pamoja na jiwe
Naunga mkono hoja, hawa vijana wote wawili ni vijana wa vijiweni!, ni paka na panya toka mitambo! Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako linahitajikaIngekuwa vyema chama chake Cha CCM, kikumuita Mbunge huyo Mrisho Gambo, kuwa Kwa ustarabu wetu wa nchi yetu, hayo maneno hayakustahili kutamkwa na mtu mwenye heshima kama yake ya ubunge, badala yake maneno hayo yalipaswa kutamkwa na vijana wa vijiweni
NdioKwahiyo Lema ndio anawakopea CDM?
Jamaa walishafanikisha ndiyo maana sasa hivi amejaza kalioGambo hivi mafuta yake bado yapo na kile kikundi
Hili swali hata yeye Gambo anaweza kuulizwa. Je anauhakika atapitishwa na ccm kugombea Arusha mjini?Kwamba Lema ni "guarantee kuwa ni mgombea wa ubunge Arusha kupitia Chadema"??
Yaani hata Wana chadema wengine hamuwapi nafasi ?.....
Na kwamba wewe mwana JF unashabikia hizi siasa za kumilikisha watu majimbo hata kama hawajapitishwa bado rasmi?
Kwa kuwa tunajua kuwa Kuna kura za maoni za kukupitisha kabla hujawa mgombea.Hili swali hata yeye Gambo anaweza kuulizwa. Je anauhakika atapitishwa na ccm kugombea Arusha mjini?
waungamisheni hao wanaomdai LEMA watoe press c ili tujue tuwaunganishe wananchi wamchangie masaa hayaishi madeni yake yote yatakua yamelipwaDawa ya deni ni kulipa
Hayo Ndiyo maneno siasa ni majigambo nakupigana vijembe hakuna ustaarabu kwenye siasa kama umeamua kuingia kwenye sasa unapaswa uwe mvumilivu na mwenye ngozi ngumu kwa hiyo isitegemee kwenye siasa mpinzani wako atakusaidia hata siku moja.Siasa ni Propaganda ,uongo ongeza na chumvi ukweli huwa ni kidogo sana kwa hiyo mtu anapimwa kwa hicho kidogo cha ukweliMbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena.
Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa madeni yote na pia aongeze juhudi za kuwapigia magoti wazungu ili waendelee kumlea yeye na mke wake pamoja na kumlipia ada za watoto wake.
https://www.facebook.com/
Madeni ya Lema yanamhusu nini yeye?Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena.
Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa madeni yote na pia aongeze juhudi za kuwapigia magoti wazungu ili waendelee kumlea yeye na mke wake pamoja na kumlipia ada za watoto wake.
https://www.facebook.com/
Kabisawaungamisheni hao wanaomdai LEMA watoe press c ili tujue tuwaunganishe wananchi wamchangie masaa hayaishi madeni yake yote yatakua yamelipwa
30 trillions ...? We jamaa unamapepo nini [emoji23][emoji23]Sasa Madeni ni kitu gani? Rais Samia tu kakopa Trillion 30 in less than 2 years.
Tulieni dawa iwaingieMadeni ya Lema yanamhusu nini yeye?
Fuatilia taarifa. Huwa ana kopa Trillion 1.6 hadi T4[emoji1787][emoji1787][emoji1787]30 trillions ...? We jamaa unamapepo nini [emoji23][emoji23]
Kabisa mkuuSiasa za kstaarabu ndio kama hizi sio
Gambo wewe hukumuelewa Dr. Samia, amekataza matusi ya aina zote! Hayo unayo hubiri kuwa Lema ana madeni, awapigie magoti wazungu etc, ni matusi!Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena.
Bwana Gambo amemtumia salamu Godbless Lema kwamba kabla ya kuliota jimbo la Arusha mjini ahakikishe amelipa madeni yote na pia aongeze juhudi za kuwapigia magoti wazungu ili waendelee kumlea yeye na mke wake pamoja na kumlipia ada za watoto wake.
https://www.facebook.com/