Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Wanapewa taarifa walinda usalama ili asiende ofisini akavuruga Mambo. Kuanzia Sasa kwenda ofisini under escort Hadi akabidhi ofisi.Hivi huwa hawapewi taarifa za kutenguliwa?
Kwani alikuwa nani kabla ya kuwa RC?Walikuwa wakitunishiana misuli. Dc huku, Rc huku na mkurugenzi kule. Sasa kawatimua wote. Atakae umia ni Gambo. Kweli ukiua kwa upanga lazima ufe kwa upanga. Gambo alimchongea Ntibenda akaondolewa Arusha kama mwizi. Sasa nae kaondoka kama paka.
Daqaro na Madeni wata rudi kwenye jazi zao. Gambo je????
Miaka ya 80’s ulikuwa mji was wafanyabiashara wa kisomali na wahindi lakini wachaga wengi wa Moshi mjini walihamia Arusha kinana alishinda miaka ile
Funguka PohambaMmoja wa walioumbuliwa ni mwana kijitonyama, pole yake
Kwani na yeye Lema hapangiwi kesho?Mkuu wa Mkoa wa Arusha atenguliwa. Juzi kati Mrisho alienda Dar kumuomba Makonda amuombee msamaha kwa Magufuli lakini akakwama. Waliongozana kwenye kikao cha UVCCM pale Mnazi mmoja akajifanya kumsifia Magufuli.. Yote yameshindikana.
TAKUKURU walipoenda Arusha nikasema kuna watu wanaondoka.
Nmekumbuka Maneno ya Godbless Lema. Hakika Mungu ndo anapanga kesho yetu.
Taarifa kwa umma: Matumizi mabaya ya madaraka ya Mrisho Gambo, Arusha
View attachment 1483610
Daqqaro ni Afisa Usalama atarudi alikotoka, Dkt Madeni inasemekana naye ni Afisa Usalama naye atarudi alikotoka. Gambo sijui shughuli yake kabla ya U-DC na U-RC ilikuwa nini, atakwenda anakojuaKwenye barua hakuna sehemu iliyoandimwa mtu atapangiwa kazi nyingine.
Na RC atarudi uafisa tehama kwa mkurugenzi jijiKwisha kazi.
Wamegombania fito, mwisho wa siku wamekosa wote.
By the way Dc hajapoteza chochote alikua kwenye mission kamnasa samaki kwenye chambo huenda atarudishwa kwenye ofisi ya rais alipotekea.
Umri ushamtupa mkono.
Haya saiz Gambo yupo huru na hii ndo nafasi yake ya kugombea ubunge sasa
Hakuna tatizo zaidi ya kuwapa fursa ya kugombea ubunge.Arusha kuna nini? RC, DC na DED wote kwa mkupuo? Kutakuwa kuna tatizo
Hii inafanana na wizara ya Mambo ya ndani Waziri, Katibu mkuu, kamishna generali wa Zimamoto wote waliliwa vichwa.Duuh, RC, DC, DED.. hapa kuna dili walikuwa wamepanga wote, labda hilo la ubunge, mtu umepewa uRC unahangaika na ubunge ya nini? Sasa kakosa yote. Pia ugomvi usioisha kati hao watatu, RC haelewani na DED & DC.