Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

cheo Ni dhamana, muda mwingi alikuwa akirushiana maneno na viongozi wenzake akiwemo mbunge, mkuu Wa wilaya, mkurugenzi nk
 
Arusha kuna nini? RC, DC na DED wote kwa mkupuo? Kutakuwa kuna tatizo

Gambo, Daqarro na Madeni hawakuwa wakifanya kazi vyema katika jiji la Arusha huku kila mmoja akijaribu kushindana na mwingine. Shida hasa ilikuwa kati ya Gambo (RC) na Madeni (mkurugenzi wa jiji). Huyo mkuu wa wilaya ni mhanga tu aliyebyamazia mambo!
 
Ugomvi wao hapo umewaponza hata polepole alishawambia wanagombana kisa ubunge
 
Jitihada za jaffo za kuwapatanisha na kuwasuluhisha ni dhahiri hazikuvua dafu...acha wakafilie mbele na migogoro yao isiyoisha. ViVa Jpm kwa maamuzi sahihi ya kuwatumbua
 
Kwa hiyo ile Mrisho Gambo Secondary School kule Olasiti ndio itabaki historia yake..ni vizuri lakini, bora alijengewa.
 
Hata kama alitumbuliwa kwa ajili agombee ujumbe atapitishwa na wajumbe gani wakati karibia wanaCCM wote kagombana nao.

Lema mchana asubuhi mapema anarudi bungeni
 


Kazi zao zipi tena ? Za Udc na ukurugenzi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…