Utakua unaumizwa tuu na ukweli....bila kubisha Arusha mjini wakazi wake wengi ni wachaga.Wachaga wapo stand tu..wenyeji wengi ni Waarusha,wamasai na Wameru..acha kudanganya watu..ila siwashangai wachagga wanatabia moja kishamba ya kujitambulisha huko mikoani kama wanatoka Arusha..mfano kulikuwa na washkaji fulani wanasoma chuo fulani hivi na wanatokea dar ni wachagga wa moshi ila walikuwa wanajitambulisha kama wametokea Arusha..kumbe infact hata Arusha hawajawahi kanyaga.ushamba tu
Mfano mrahisi tu ,wachagga wote wanaosoma vyiuoni,wengi wanajitambulisha wanatoka Arusha..hawasemi kilimanjaro.
Uvccm wakizeeka watakuwa wachawi by Mrisho Gambo!Tuvute subira ila ni kupitia kikao cha juzi cha wana uvccm
Msikilize Polepole vizuri ndo utajua Mrisho ndo bye byeUBUNGE atapewa msiwe na wasiwasi Ndugu watazamaji
Upinzani wanatoa wapi! pesa ya kufanya maendeleo!! Kazi ya upinzani Ni kutoa hoja na kuishauri serikali kutekeleza wajibu wake embu nenda kwenye kumbukumbu za Bunge angalia michango ya wabunge wa upinzani,malipo gani bwana na wakati upinzani ndio unaondoka arusha mana hakuna la maana kwa miaka kumi walichofanya, hio ni kamati ya ushindi, upinzani kwisha
Sikushangai we ndio wale wale mnatokea kishimundu, mnasema mmetokea Arusha..leta statistics...achana na habari za wamachinga wa stand.Utakua unaumizwa tuu na ukweli....bila kubisha Arusha mjini wakazi wake wengi ni wachaga.
Walikuwa na ugomvi hawaelewani wote wanalitaka jimboArusha kuna nini? RC, DC na DED wote kwa mkupuo? Kutakuwa kuna tatizo
Bwana mdogo gambo ulishajiharibiaa kwa yesu wa ccmHuyo ndo atakua mbunge wa Arusha mjini. Anaandaliwa kuwa Waziri
Akazindue kwanza mradiView attachment 1483722
Nani atampa kura Arusha, mleteni tuwaonyeshe pamoja na mibunduki yenu!Huyo ndo atakua mbunge wa Arusha mjini. Anaandaliwa kuwa Waziri
Hata kangi Lugola alivyotenguliwa uwaziri mlishangilia,sina imani na hao watu ni sanaa tuRais Magufuli leo hii amemtimua kazi mkuu wa mkoa wa Arusha.
Pamoja na Mkurugenzi wa jiji la Arusha. Mataga poleni