Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Wachaga wapo stand tu..wenyeji wengi ni Waarusha,wamasai na Wameru..acha kudanganya watu..ila siwashangai wachagga wanatabia moja kishamba ya kujitambulisha huko mikoani kama wanatoka Arusha..mfano kulikuwa na washkaji fulani wanasoma chuo fulani hivi na wanatokea dar ni wachagga wa moshi ila walikuwa wanajitambulisha kama wametokea Arusha..kumbe infact hata Arusha hawajawahi kanyaga.ushamba tu

Mfano mrahisi tu ,wachagga wote wanaosoma vyiuoni,wengi wanajitambulisha wanatoka Arusha..hawasemi kilimanjaro.
Utakua unaumizwa tuu na ukweli....bila kubisha Arusha mjini wakazi wake wengi ni wachaga.
 
Hili ni funzo na sijui kwa nini kuna vichwa havielewi
Kazi za umma ni utumishi ,siyo fursa ya kukiuka utu na ubinadamu

Leo hawezi kumweka hata panya mahabusu. Ni huyu aliyekuwa mstari wa mbele kusweka watu mahabusu. Gambo ameondoka katika utumishi wa umma akiwa amejijengea lundo la maadui na chuki.

Hana nguvu tena hana mamlaka, utesi wake umefika mwisho. Waliomtuma hawamjali tena yupo pweke akikukumbuka utesi na walioteseka. Hana thamani tena. Hana askari wala mgambo, sasa ni raia tu !amevuna!
 
Washabiki wa Lema msijipe Moyo...Lema sio tishio tena Arusha,hawavutii tena Watu.
Naona mnamtaja taja sana hapa.
 
malipo gani bwana na wakati upinzani ndio unaondoka arusha mana hakuna la maana kwa miaka kumi walichofanya, hio ni kamati ya ushindi, upinzani kwisha
Upinzani wanatoa wapi! pesa ya kufanya maendeleo!! Kazi ya upinzani Ni kutoa hoja na kuishauri serikali kutekeleza wajibu wake embu nenda kwenye kumbukumbu za Bunge angalia michango ya wabunge wa upinzani,

Alafu ujiulize Kama serikali ingekuwa inafanyia kazi tungekuwa tumepiga hatua kiasi Gani!! Au unataka pesa za mfuko wa jimbo ndo mbunge alete maendeleo!! Angalia halmashauri zilizokuwa chini ya opposition japo wanabanwa na serikali mama Bado wanajitahidi..Tumia akili kidogo siyo kuandika tu.
 
Utakua unaumizwa tuu na ukweli....bila kubisha Arusha mjini wakazi wake wengi ni wachaga.
Sikushangai we ndio wale wale mnatokea kishimundu, mnasema mmetokea Arusha..leta statistics...achana na habari za wamachinga wa stand.

Warangi wenyewe wanaoishi pale ngarenaro ni wengi kuliko hivyo vichagga hapo stand lakini huwa hawakani wanapotaka
 
Anayedhani amesimama, aangalie asianguke. Cheo dhamana
 
Moyo wa mtu huifikiri njia yake; Bali Bwana huziongoza hatua zake.

Mithali 16:9
 
Rais Magufuli leo hii amemtimua kazi mkuu wa mkoa wa Arusha.

Pamoja na Mkurugenzi wa jiji la Arusha. Mataga poleni
Hata kangi Lugola alivyotenguliwa uwaziri mlishangilia,sina imani na hao watu ni sanaa tu
 
Back
Top Bottom