Wachaga wapo stand tu..wenyeji wengi ni Waarusha,wamasai na Wameru..acha kudanganya watu..ila siwashangai wachagga wanatabia moja kishamba ya kujitambulisha huko mikoani kama wanatoka Arusha..mfano kulikuwa na washkaji fulani wanasoma chuo fulani hivi na wanatokea dar ni wachagga wa moshi ila walikuwa wanajitambulisha kama wametokea Arusha..kumbe infact hata Arusha hawajawahi kanyaga.ushamba tu
Mfano mrahisi tu ,wachagga wote wanaosoma vyiuoni,wengi wanajitambulisha wanatoka Arusha..hawasemi kilimanjaro.