Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Hujui vizuri nature ya watu wa Arusha mjini vizuri wallah
Itakua unazungumza kishabiki...wacha tuone baada ya uchaguzi...Lema yeye mwenyewe anajiandaa kuwa Muhubiri,anajua kabisa hawezi toboa,anajua kabisa amepoteza mvuto...achilia mbali ndani ya chama chake ambapo kuna mgogoro mkubwa kati ya madiwani wake na yeye..Nanyaro ni diwani wa kata yetu ya Levolosi,Hary wa Ngarenaro keshakimbia...yote hyo ni umwamba ambao amekua akiuonesha ndani ya chama.
 
Hilo Ndilo Tatizo Mama , Vyeo hivi vya RC Na DC vimekuwa ni vyeo vya kupiga mapambio, ziara za kukagua miradi ya kitaifa, kuweka wapinzani ndani Na kuunga mkono juhudi tu .

Hakuna maono ya kiuchumi ya kuendeleza mikoa hiyo wala kuweka Miundo mbinu ya maana kwa mikoa yao ..

Ni vyeo ya hovyo sana kwa Nchi hii
 
Kuongeza Jimbo ni kumzidishia mlipa Kodi mzigo tu wa bure kisa watu wapate vyeo na kutumbua Kodi zetu bure ingekuwa uwezo wangu ningepunguza majimbo mengi Sana, maana bungeni kwenyewe huwa ni mipasho mitupu watu hawatetei Raia.
Hakuna jimbo linalogawanywa,hizo ni story za kusadikika...Kwa mjadala upi uliojadiliwa na bunge mpaka ugawe jimbo?
 
tatizo una elimu ndogo na akili uliyonayo ipo rigid..we argue na wanywa mbege wenzako...Hawa machinga waliompa Lema kura mjini,wamesharudi mwakao...Na hii SACCOS ya kutafutia pesa za mbega na faru John ndio imeshakufa.
 
Hujui vizuri nature ya watu wa Arusha mjini vizuri wallah
Kaa tuu ukijua zile siasa za Harakati ambazo lema alikua akiziendesha hazipoge tena...wafuasi wake wengi walikua wamachinga ambao walikua hawana mahala pa kufanyia kazi....cha ajabu ni kwamba wamepewa yale yale maeneo ambayo lema alikuwa apkipendekeza wapewe..i.e Kilombero stand ,na uwanja wa NMC..
 
Inawezekana toka aingie madarakani Maguri, utenguzi huu alioufanya ndio umefurahisha kila mtanzania. Hakuna anaelalamika tumbua tumbua kuzidu
 
tatizo una elimu ndogo na akili uliyonayo ipo rigid..we argue na wanywa mbege wenzako...Hawa machinga waliompa Lema kura mjini,wamesharudi mwakao...Na hii SACCOS ya kutafutia pesa za mbega na faru John ndio imeshakufa.
Mkuu,njoo na fact wacha kunyamba kwenye nguo...
 
tatizo una elimu ndogo na akili uliyonayo ipo rigid..we argue na wanywa mbege wenzako...Hawa machinga waliompa Lema kura mjini,wamesharudi mwakao...Na hii SACCOS ya kutafutia pesa za mbega na faru John ndio imeshakufa.
Mimi siko kwenye huo mrengo mkuu..tambua tuu nachokieleza hapa ni ukweli...najaribu kukueleza tuu...siasa za Arusha zinabebwa na wachaga iwe CCM iwe Cahadema...kataa..kunya mavi...huo ndo ukweli.
 
Sio hazipo sikuhizi ukionekana unashadadia siasa za upinzani unapotezwa Nani hapendi uhai wake, vile watu wako kimya tu kuanzia uchaguzi serikali za mitaa I did research nothing has changed at all, vile intimidation and fear kwa jamii.
 
Nani amesema jimbo la arusha litagawanywa, na kwani mkuu wa mkoa kutenguliwa imeanzia kwa gambo? Acheni ndoto za mchana..kwani gambo ni maalum sana hawezi fanya kazi nyngn zaidi ya siasa..
 
tatizo una elimu ndogo na akili uliyonayo ipo rigid..we argue na wanywa mbege wenzako...Hawa machinga waliompa Lema kura mjini,wamesharudi mwakao...Na hii SACCOS ya kutafutia pesa za mbega na faru John ndio imeshakufa.
Kaa tuu ukijua kwamba hao wachaga wamejipanga siku Nyingi,wengi wao wanafanya biashara zao mjini kati n hapo ndiko walikojiandikishia kura...sasa jamii ya waarusha hawakai mjini.....nataka tuu nikufundishe...kwa mfano ,kwa idd,sakina,manguruweni,mianzini,ilboru,sanawari,sekei...huko sio Arusha mjini mkuu..na huko ndiko angalau kuna ka population kakubwa ka hilo kabila lako..huko ni Arumeru....wachaga wanaishi uko uko ndani yenu lkn wanajiandikisha mjini...ni rahisi kum support mtu wao.
 
B
sasa kumekucha gambo rasmi ubunge kwa lema mbona mtakoma mwaka huu hana kosa la kutumbuliwa kama mnadhani ni hivyo hayo ni maandalizi ya ubunge
Bado ndoto moja, utaota gambo amekuwa makamu wa rais arusha..
 
Sio hazipo sikuhizi ukionekana unashadadia siasa za upinzani unapotezwa Nani hapendi uhai wake, vile watu wako kimya tu kuanzia uchaguzi serikali za mitaa I did research nothing has changed at all, vile intimidation and fear kwa jamii.
Hapana,lema alishindwa kubadilisha mfumo wa siasa zake,,kwa mfano angekuwa vizuri na diwani Nanyaro angekuwa angalau ana matumaini...maana huyo nanyaro ni mjanja.. hata km hamna siasa kila siku yuko masokoni akizungumza na wananchi...sasa lema ajui ku renew policy.
 
Ulilosema ni kweli Ila sio siasa za sikuhizi mkono wa chuma hamna usawa upinzani inaonekana ni uadui
 
Ulilosema ni kweli Ila sio siasa za sikuhizi mkono wa chuma hamna usawa upinzani inaonekana ni uadui
Wanasiasa wengi wa upinzani wanachukulia faida kwamba wanakandamizwa na dola...lkn nakwambi km wangekuwa na umoja na wakaweka mfumo wao wa uongozi kuanzia ngazi ya chini ni rahisi sana....imagine km ukianza na balozi wa nyumba kumi,una uongozi,uje mtaa una uongozi,uje kata una uongozi...ni rahisi sana maana wao ndo wanakutana na wananchi wengi....Lema alijiaminisha kwamba yeye ni Chaguo la watu,akashindwa kuelewa kwamba uongozi mbaya wa CCM ya 2015 na kurudi nyuma ndio uliompa faida ya yeye kung'ara na wala sio kwamba aliwavutia WANANCHI kwa sera nzuri
 
Upinzani nao ni walewale, ccm nao ni wale wale wanajitaftia matumbo yao na kusahau wananchi wao. Imagine after kampeni hawaonekani kuanzia hao kina Mbowe hafu ni vinara kupiga kelele huku wao wametekeleza majimbo yao ni kuongea ongea tu ka chiriku. Mwaka huu wananchi tuwanyooshe Hawa wababaishaji Tena huko Arusha mjini kumu athiriwa na siasa chafu sio kwa jiji la kitalii kutia aibu kwa miundo mbinu
 
Alienda kuomba ushauri kwa Bashite akimuuliza; Hivi mwenzangu unafanyaje maana unaharibu mara kibao na Magu atakusema hadharani lakini hakutengui. Nipe siri yake!

Mrisho kamkumbushia Bashite, angalia ulikuwa na skendo ya makonteina- ukapangua, Vyeti feke, Koko beach, Ukusanyaji wa kodi DSM nk.
 
Siuji mkuu alisoma maombi yangu humu JF kuhusu nia ya kugombea Ubunge Arusha na nikasema ni bora wachague mwingine yeyote toka CCM Lakini sio Gambo. Kwa kupigwa chini ukuu wa mkoa hata janja ya kurudi Arusha hana tena. Ubunge kaukosa mchana kweupeeeeeee!
 
Njaa nip kitu kimoja kibaya sana.imagine hawa wakina Mbowe walikua wanasimama majukwaani wanaongea mpaka watu wanalia machozi...lkn mioyoni mwao wanajua kabisa wanadanganya,Cheki aibu zao sasa...siasa ni Matope matupu.....tuendelee kuomba Mungu atupe wazalendo watakaoongoza nchi Kwa Uzalendo mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…