Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Kutufitinisha wana Arusha
Kilichompata ndio zawadi ya mfitini, hawana muda kudiscuss habari za gambo, hapo wmeshamaliza wanayo mengi ya maana kuliko hili la gambo.. Arusha safari hii hata form 6 leaver akigombea kupitia ccm atashinda, kwanza sidhani Lema atagombea tena km kweli anawapenda watu wa arusha..
 
Huyu ni mwana kulitafuta bana hachelewi kulipata;
1. Mhe. Gambo alijisahau?
2. Mhe. Gambo alilevywa na madaraka?
3. Mhe. Gambo alionyesha daliliza kutoridhika na alichopewa?
4. Mhe. Gambo alisema yasiyosemeka?

Naona mtoto wa Muuza uji pale soko la Karume na Aliyeuota ufundi Gereji yamemkuta yaliyompata...
 
Usisahau kuwa yote uliyoorodhesha yanamhusu jiwe pia.
 
Nani amesema jimbo la arusha litagawanywa, na kwani mkuu wa mkoa kutenguliwa imeanzia kwa gambo? Acheni ndoto za mchana..kwani gambo ni maalum sana hawezi fanya kazi nyngn zaidi ya siasa..
Noted.
 
HABARINI ZA JIONI
KWA MSIOJUA TU HUU MKUTANOO NDIO UMEMNGOA MRISHO GAMBO

WENGINE WAMEFANYIKA KAFARA TU KUMALIZA MSTAKABALI WA ARUSHA......

HUU MKUTANO NAJUA MRISHO ALIHISI WAKO ANAOWAJUA WENYEWE LAKNI KULIKUWA NA KADHAA NYUMA YA PAZIA NA MMOJA WAO ALISHIRIKI KWA MAKUSUDI KUSAMBAZA HIZI VIDEO KULINDA CHAMA CHETU KIENDEELEE KUDUMU

NAMPA POLESANA SANA MH RC AKUSOMA NYAKATI NA HATA VIKAONI ALIJISAHAU SIOWOTE ANAOWAFAHAMU WAMO MLE

NAPONGEZA UAMUZI MZITO WA MH RAISI ILIFIKA WAKATI TULINDE CHAMA AMA TUMWACHE AENDELEE NA MAMBOYAKE

NAWATAKIA KILA LA KHERI WOTE MLIOJINYANYUA NAMINI NEXTY MLIOBAKIA MTAJILINDA KWA HALI NA MALII.....
 
sasa kumekucha gambo rasmi ubunge kwa lema mbona mtakoma mwaka huu hana kosa la kutumbuliwa kama mnadhani ni hivyo hayo ni maandalizi ya ubunge
Mavii


Tuuux
 
HIII SIKU NDIO NILIJUA SIKUZAKE ZINAHESABIKA UNISIFIA KUSIMAMISHA UJENZI WA KANISA TENA UKIELEKEA GOROFA YAPILI
ALAFU UNASEMA YAWE MADARASAA FABKURUMANYOYA LABDA SIOKWAMUNGU NINAEMWAMINI KHA
 

Attachments

  • Screenshot_20200620-220950.png
    351.4 KB · Views: 1
Kumbe hukuona jinsi alivyokuwa anasakamwa?!
Nakuuliza tena,Lema anaeza kuonewa kwenye jambo linalohusu WANANCHI wake akakaa kimya?
Ama ni Lema yupi unamzungumzia?
Unakumbuka zile fujo alizoleta wakati wa kuzinduliwa ile hosipital?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…