Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Lema sisi wana Arusha tayari tusha muomba agombee maana tupo tayari kumchagua tena kwani ccm Arusha ilisha futwa
 
Hiki kimama inawezekana ndiyo kilikuwa kinamtegea kama mgodi wake au kinamtumia kama ATM
Muonyeshe na hii kuwa huyo jamaa ndio imetoka hiyo hiki kikao ndio walikuwa wanammaliza hapa
 
Siku jiwe akiamka akitaka sifa anaweza kumtumbua Majaliwa ili mradi watu watikisike na wamheshimu.
 
Sio kweli, Jtatu utasikia kila kitu, sbb kubwa ni Ubunge na migogoro isiyoisha na DED & DC, kila mmoja alijiona mbabe
 
Sio kweli, Jtatu utasikia kila kitu, sbb kubwa ni Ubunge na migogoro isiyoisha na DED & DC, kila mmoja alijiona mbabe
[/QUOTE
Ingiza zaidi NDAN utaelewa
DC hakuwanawazo na ubunge kamwee
 
Pole pole aliwaonya... Tatz Hawa waliyoteuliwa walikuwa wanawavimbia mpk maboss wao

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
HADI WATUMISHI WA MUNGU AISEE JAMAAA KAPIGWA BAKORA BA MAOMBI
AMENIKUMBUSHA DC MMOJA NILIMWAMBIA UKIMALIZA HUUMWAKA OFISIN MOLA ANICHUKUE NILINUNUA LINE NA KUTUPA CHOON AFTER MSG.... NAHISI ILE LINE INAMSG ZA MSAMAHHD KULE CHOOON MDAHUU

MAOMBIYANALIPA.......... NA ANABAHATI ALIEOMBA ALISEMA TUMWONDOEKABISA AMA NKAMWAMBIA HUKOUSIFIKE HATA SHETAN ATANZOMEA MTOE PALE
 
Huyo mlinzi alipokuwa anaenda kwenye kiti cha DC nia ni kumwambia anyamaze au kumtoa nje?Gambo naye alichemka yaani ulinzi wote huo kuwatisha viongozi wenzake
 
Huyo mlinzi alipokuwa anaenda kwenye kiti cha DC nia ni kumwambia anyamaze au kumtoa nje?Gambo naye alichemka yaani ulinzi wote huo kuwatisha viongozi wenzake
Usimwambie mtu........
Kaziilishafanyika aKutakiwa kuendeleeaa kuongeza zaidi
Roger
Roger
 
UKITAKA USAHAULIKE KWENYE SIASA WE JITANGAZE WEWE NDIE KILA KITU AKUNANANAEKUGUSA NK WEEEEWEEEE
MSIKILIZENJ AYA MOJA ALIKUWA AKIGONBEZA DC NA MKURUGENZI...... HAPO NKAJUA MPWAA ANASUBIRIA BARUA YAKE SOON KABLA YA UCHAGUZI

CCM ISIKIE SIO ILE MLIOIJUA AMWAMINI SUBIRIN BUNGEN 2021 MTANIKUMBUKA..... RESP CCM SALUTE KWENU
 
mmekwisha mwaka huu niwaambie tu wapinzani, karibia majimbo yote ya upinzani hakuna maendeleo kwanza hampo majimboni kutwa kuchwa kwenye social networks kulalamika ovyo ovyo tunafanya operesheni safisha uchafu
 
Kwa hiyo nyie zaid ya miaka 50 bado mnatuambia swala la umeme,,maji,,na barabara.
 
You know nothing about Arusha you better shut your mouth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…