Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kilichompata ndio zawadi ya mfitini, hawana muda kudiscuss habari za gambo, hapo wmeshamaliza wanayo mengi ya maana kuliko hili la gambo.. Arusha safari hii hata form 6 leaver akigombea kupitia ccm atashinda, kwanza sidhani Lema atagombea tena km kweli anawapenda watu wa arusha..
Mungu mbariki Mh LemaLema sisi wana Arusha tayari tusha muomba agombee maana tupo tayari kumchagua tena kwani ccm Arusha ilisha futwa
Muonyeshe na hii kuwa huyo jamaa ndio imetoka hiyo hiki kikao ndio walikuwa wanammaliza hapaHiki kimama inawezekana ndiyo kilikuwa kinamtegea kama mgodi wake au kinamtumia kama ATM
Siku jiwe akiamka akitaka sifa anaweza kumtumbua Majaliwa ili mradi watu watikisike na wamheshimu.HABARINI ZA JIONI
KWA MSIOJUA TU HUU MKUTABO NDIO UMEMNGOA MRISHO GAMBO
WENGINE WAMEFANYIKA KAFARA TU KUMALIZA MSTAKABALI WA ARUSHA......
HUU MKUTANO NAJUA MRISHO ALIHISI WAKO ANAOWAJUA WENYEWE LAKNI KULIKUWA NA KADHAA NYUMA YA PAZIA NA MMOJA WAO ALISHIRIKI KWA MAKUSUDI KUSAMBAZA HIZI VIDEO KULINDA CHAMA CHETU KIENDEELEE KUDUMU
NAMPA POLESANA SABA MH RC AKUSOMA NYAKATI NA HATA VIKAONI ALIJISAHAU SIOWOTE ANAOWAFAHAMU WAMO MLE
NAPONGEZA UAMUZI MZITO WA MH RAISI ILIFIKA WAKATI TULINDE CHAMA AMA TUMWACHE AENDELEE NA MAMBOYAKE
NAWATAKIA KILA LA KHERI WOTE MLIOJINYANYUA NAMAINI NEXTY MLIOBAKIA MTAJILINDA KWA HALI NA MALII..... View attachment 1484582View attachment 1484583View attachment 1484584View attachment 1484585View attachment 1484586
HABARINI ZA JIONI

Sio kweli, Jtatu utasikia kila kitu, sbb kubwa ni Ubunge na migogoro isiyoisha na DED & DC, kila mmoja alijiona mbabe
[/QUOTE
Ingiza zaidi NDAN utaelewa
DC hakuwanawazo na ubunge kamwee
HADI WATUMISHI WA MUNGU AISEE JAMAAA KAPIGWA BAKORA BA MAOMBIPole pole aliwaonya... Tatz Hawa waliyoteuliwa walikuwa wanawavimbia mpk maboss wao
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hapa kama Pestana vile
Usimwambie mtu........Huyo mlinzi alipokuwa anaenda kwenye kiti cha DC nia ni kumwambia anyamaze au kumtoa nje?Gambo naye alichemka yaani ulinzi wote huo kuwatisha viongozi wenzake
Nilijua mm peke yangu ndio nimegundua hiloMtoa mada hajajuaga kusoma na kuandika mpaka leo.
mmekwisha mwaka huu niwaambie tu wapinzani, karibia majimbo yote ya upinzani hakuna maendeleo kwanza hampo majimboni kutwa kuchwa kwenye social networks kulalamika ovyo ovyo tunafanya operesheni safisha uchafuUpinzani wanatoa wapi! pesa ya kufanya maendeleo!! Kazi ya upinzani Ni kutoa hoja na kuishauri serikali kutekeleza wajibu wake embu nenda kwenye kumbukumbu za Bunge angalia michango ya wabunge wa upinzani,
Alafu ujiulize Kama serikali ingekuwa inafanyia kazi tungekuwa tumepiga hatua kiasi Gani!! Au unataka pesa za mfuko wa jimbo ndo mbunge alete maendeleo!! Angalia halmashauri zilizokuwa chini ya opposition japo wanabanwa na serikali mama Bado wanajitahidi..Tumia akili kidogo siyo kuandika tu.
Kwa hiyo nyie zaid ya miaka 50 bado mnatuambia swala la umeme,,maji,,na barabara.mmekwisha mwaka huu niwaambie tu wapinzani, karibia majimbo yote ya upinzani hakuna maendeleo kwanza hampo majimboni kutwa kuchwa kwenye social networks kulalamika ovyo ovyo tunafanya operesheni safisha uchafu
You know nothing about Arusha you better shut your mouthMimi siongelei kiushabiki..nimefanya utafiti wa kina...Arusha mjini kata yenye watu wengi ni Muriet...huyu jamaa alietumbuliwa anaishi Muriet/kwamorombo...kwa mda mwingi alijikita kutatua changamoto nyingi kule na kumpenyezea Lema fitna....ukija sinon ndo usiseme uko kumewekwa Miundombinu ya uhakika...achia mbali wamachinga ambao wanafanya Biashara kila kona yal mji huu....