Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Issue ya malori inaweza kuwa imechangia yuko soft sana ingawaje sina uhakika, mwenzie shigella hacheki na mtu, anyway cheo ni dhamana.
 

Ukweli ni kwamba uchaguzi ni wenyeji. Wenyeji wa Arusha mjini na wafanyabiashara wengi in wachaga ni ngumu kushinda pale maana ni mji wa biashara sio ushahili wa Dar
 
Ubunge una maslahi makubwa kisiasa kuliko u RC

Haijalishi, u RC still una mshiko mkubwa tu, posho kibao, ubunge lazima angepata baraka za uhakika za kichama, nadhani labda Gambo alifanya kutumia cheo chake kulazimisha, au kuzuia taratibu za demokrasia ndani ya chama hapo mkoani ili yeye apite, nahisi hivyo.
 
Bado Bashite,hawa vijana waliota mapembe sana,acha wavune walichopanda
 

Daah kule Murieti maendeleo ndio wayasahau hivyo.
 
Mbona hili lilitegemewa zaidi ya mwezi sasa? Wanarumbana hadharani kila siku kisa jimbo, jimbo lenyewe hawana uhakika nalo.
CC: GAMBO,
Lema alikwambia wewe si mkuu wa mkoa wa kwanza Arusha na si wa Mwisho, nadhani sasa umeelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…