Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Issue ya malori inaweza kuwa imechangia yuko soft sana ingawaje sina uhakika, mwenzie shigella hacheki na mtu, anyway cheo ni dhamana.
 
Gambo juzi kaacha Mkoa wake kaja Dsm kwa UVCCM na Makonda.Katibu Mwenezi wake kaenda Arusha kasema Arusha CCM wanagombana sbb ya kutaka ubunge.


Huyu Kihongosi ni Mkimbiza Mwenge,lakini ndiye siku kadhaa zilizopita alitoa kauli ya vitisho dhidi ya Wapinzani.Alisikika akisema vijana wamteketeze Zitto.

Hii team inaenda ku-deal na Lema,Usalama wa Chama umejiridhisha katika majimbo magumu ya Upinzani,Arusha ni namba moja.

Unaweza kumpa mtu offer ya chakula lakini kumchagulia nini cha kula baada ya offer ni kinyume cha offer uliokusudia.Acheni watu waamue

Ukweli ni kwamba uchaguzi ni wenyeji. Wenyeji wa Arusha mjini na wafanyabiashara wengi in wachaga ni ngumu kushinda pale maana ni mji wa biashara sio ushahili wa Dar
 
Ubunge una maslahi makubwa kisiasa kuliko u RC

Haijalishi, u RC still una mshiko mkubwa tu, posho kibao, ubunge lazima angepata baraka za uhakika za kichama, nadhani labda Gambo alifanya kutumia cheo chake kulazimisha, au kuzuia taratibu za demokrasia ndani ya chama hapo mkoani ili yeye apite, nahisi hivyo.
 
Duuh! Si mchezo
Tatizo alihisi na kama DAB Sasa kakalia kuti kavu
IMG-20200619-WA0010.jpg
 
Bado Bashite,hawa vijana waliota mapembe sana,acha wavune walichopanda
 
Walikuwa wakitunishiana misuli. Dc huku, Rc huku na mkurugenzi kule. Sasa kawatimua wote. Atakae umia ni Gambo. Kweli ukiua kwa upanga lazima ufe kwa upanga. Gambo alimchongea Ntibenda akaondolewa Arusha kama mwizi. Sasa nae kaondoka kama paka.
Daqaro na Madeni wata rudi kwenye jazi zao. Gambo je????

Daah kule Murieti maendeleo ndio wayasahau hivyo.
 
Mbona hili lilitegemewa zaidi ya mwezi sasa? Wanarumbana hadharani kila siku kisa jimbo, jimbo lenyewe hawana uhakika nalo.
CC: GAMBO,
Lema alikwambia wewe si mkuu wa mkoa wa kwanza Arusha na si wa Mwisho, nadhani sasa umeelewa.
 
Back
Top Bottom