Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Pamoja nahilo, angalia mabadiliko ya safu nzima yalofanywa
Comrade kachezea za chembe kwa sababu ya mgogoro na dc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comrade kachezea za chembe kwa sababu ya mgogoro na dc
haujapata uteuzi kweli?Duuh, RC, DC, DED.. hapa kuna dili walikuwa wamepanga wote, labda hilo la ubunge, mtu umepewa uRC unahangaika na ubunge ya nini? Sasa kakosa yote
barua ya niniWeka barua sasa maana sio kwa haraka hiyo
Gambo alikuwa kijana makini sana,,ghafla akalewa cheo,Alikuwa adui namba moja wa leba, Lema. Leo atalala vizuri
Hawa watatu ndani ya mkoa mmoja kazi yao imeisha.
Kwio ake mssigwa kashasemaNi ndoto?
Kwani Gambo hajatia nia ya ubunge?
Walikuwa wakitunishiana misuli. Dc huku, Rc huku na mkurugenzi kule. Sasa kawatimua wote. Atakae umia ni Gambo. Kweli ukiua kwa upanga lazima ufe kwa upanga. Gambo alimchongea Ntibenda akaondolewa Arusha kama mwizi. Sasa nae kaondoka kama paka.Kosa lake nini mmoja wa watoto pendwa wa mheshimiwa.
Hao inaonekana kuna mchongo walikuwa wanapiga kwa pamoja, ndio maana wote wametenguliwa.
Kwa nini unataka wote mjazane chini kama wewe? Hii roho mbaya sana ndio maana umeganda hapo hapo kwenye zege. Mungu kakisudia ugande hapo hapo.Alhamdulillah! Huyu alizidisha majivuno. Aje mtaani tugombee ajira za kubeba zege.
Ubunge una maslahi makubwa kisiasa kuliko u RCDuuh, RC, DC, DED.. hapa kuna dili walikuwa wamepanga wote, labda hilo la ubunge, mtu umepewa uRC unahangaika na ubunge ya nini? Sasa kakosa yote
Comrade wote hao watatu wamepigwa chini maana ugomvi wao ulifika hatua wakawa wanafanyiana hujuma kwenye miradi ya maendeleo.Pamoja nahilo, angalia mabadiliko ya safu nzima yalofanywa
Acha tu kaondoka kawacha wakidunda.Si ndio alisema vijana wa CCM wakizeeka wanakuwa wachawi
Ameshindwa Gambo ndo watathubutu hao wakimbiza Mwenge?Hii ni "Kamati ya ushindi" mkoa wa Arusha.
Lema kwaheri.
Hawa watu bana,,mtu umepata kazi,,tena ya maana,,unaendekeza migogoro ili iweje sasa,wakati mwajiri wako kila siku anasema hataki migogoro?,Hamna kitu, hao wamepigwa chini kwasababu ya migogoro baina ya dc na rc.
tena kwaheri ya kuonana mpuuzi tu huyo, hakuna alichofanya arusha,Hii ni "Kamati ya ushindi" mkoa wa Arusha.
Lema kwaheri.