Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Kaharibu nini huyo Gambo. Pamoja na kujipendekeza kote kwa Mfalme na Mwana Mfalme imekuwa kazi bure.

Wajuvi tuambieni kulikoni
Ndo alikuwa mgeni rasmi kwenye kile kikao maarufu cha "kuwachinja wapinzani", vijana wa CCM wasiruhusu Mbowe aende Sokoni, wala Zitto kwenda hotelini!
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha atenguliwa. Juzi kati Mrisho alienda Dar kumuomba Makonda amuombee msamaha kwa Magufuli lakini akakwama. Walionhozana kwenye kikao cha UVCCM pale Mnazi mmoja.

TAKUKURU walipoenda Arusha nikasema kuna watu wanaondoka.
Takukuru wamebaini nini hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gambo juzi kaacha Mkoa wake kaja Dsm kwa UVCCM na Makonda. Katibu Mwenezi wake kaenda Arusha kasema Arusha CCM wanagombana sbb ya kutaka ubunge.

Huyu Kihongosi ni Mkimbiza Mwenge, lakini ndiye siku kadhaa zilizopita alitoa kauli ya vitisho dhidi ya Wapinzani. Alisikika akisema vijana wamteketeze Zitto.

Hii team inaenda ku-deal na Lema,Usalama wa Chama umejiridhisha katika majimbo magumu ya Upinzani,Arusha ni namba moja.

Unaweza kumpa mtu offer ya chakula lakini kumchagulia nini cha kula baada ya offer ni kinyume cha offer uliokusudia. Acheni watu waamue
Napenda sana busara zako barafu
 
Mbona mkuu haniteui mimi jamani sijui na feli wapi?
 
Lema anatisha
Mbona hili lilitegemewa zaidi ya mwezi sasa? Wanarumbana hadharani kila siku kisa jimbo, jimbo lenyewe hawana uhakika nalo.
CC: GAMBO,
Lema alikwambia wewe si mkuu wa mkoa wa kwanza Arusha na si wa Mwisho, nadhani sasa umeelewa.
 
Rais Magufuli leo hii amemtimua kazi mkuu wa mkoa wa Arusha.

Pamoja na Mkurugenzi wa jiji la Arusha. Mataga poleni
Wewe ndo wa kupewa pole, unadhani hakuna walioteuliwa kushika hizo nafasi? Nyumbu sijui mnawaza nini!
 
Amani kwako.

Wakuu naomba tupeane kikichotokea kwa awa jamaa waliokuwa viongozi ngunguru mkoa wa arusha kama Mkuu wa mkoa, wilaya na mkurugenzi ambapo wamelimwa panga na kutupwa nje ya uzio.

Nini kimedhuru chakula na kuweka sumu mezani kwa hawa watu?
 
Arusha kunani? Hii ni message kwa waimba mapambio wooote. Bwana Jiwe ni kama Simba wa kufugwa. Hata umpe msosi kwa miaka mingi kiasi gani, siku ya siku akikosa chakula tu, anakugeuza wewe kuwa kisusio.
Huo ninutenguzi na uteuzi wa kimkakati,! Kwa akili zenu za kinyumbu hamuwezi kuelewa,!

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni kwamba uchaguzi ni wenyeji. Wenyeji wa Arusha mjini na wafanyabiashara wengi in wachaga ni ngumu kushinda pale maana ni mji wa biashara sio ushahili wa Dar

Makongoro Nyerere alishinda ubunge enzi hizo hapo Arusha mjini sababu ya Influence ya NCCR Mageuzi enzi hizo chini ya Mrema + watu walikua wanamheshimu dingi yake ila usawa huu Arusha mjini uwe sio mwenyeji/kabila la pale kupata Jimbo ni ndoto aiseeeee.
 
Kweli siasa noma, ila RC alikuwa anaonekana mara sokoni wamama wanamshangilia, mara vijana....inamaana hii ilikuwa movie????!!🙉🙉
Unless hii team mpya from sijui Kailua, mixer Iringa, iwe inajua machocho za chugs, otherwise, Lema ushindi ni kabla jogoo hajawika.....
 
Back
Top Bottom