Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Gambo juzi kaacha Mkoa wake kaja Dsm kwa UVCCM na Makonda. Katibu Mwenezi wake kaenda Arusha kasema Arusha CCM wanagombana sbb ya kutaka ubunge.

Huyu Kihongosi ni Mkimbiza Mwenge, lakini ndiye siku kadhaa zilizopita alitoa kauli ya vitisho dhidi ya Wapinzani. Alisikika akisema vijana wamteketeze Zitto.

Hii team inaenda ku-deal na Lema,Usalama wa Chama umejiridhisha katika majimbo magumu ya Upinzani,Arusha ni namba moja.

Unaweza kumpa mtu offer ya chakula lakini kumchagulia nini cha kula baada ya offer ni kinyume cha offer uliokusudia. Acheni watu waamue
utakufa na pressure mkuu, kunywa maji kwanza ulelax, hakuna kijana mpenda maendeleo kama huyo kihongosi, hapa iringa kaleta maendeleo kupita hata wabunge wenyewe, nina imani kubwa huko arusha wataneemeka na uongozi wake,
 
Njaa nip kitu kimoja kibaya sana.imagine hawa wakina Mbowe walikua wanasimama majukwaani wanaongea mpaka watu wanalia machozi...lkn mioyoni mwao wanajua kabisa wanadanganya,Cheki aibu zao sasa...siasa ni Matope matupu.....tuendelee kuomba Mungu atupe wazalendo watakaoongoza nchi Kwa Uzalendo mkubwa.
Wote kina Mbowe uchaguzi ukiisha hawakanyagi majimboni wao nikuongea tu blah blah, na wananchi waliwaamini no changes at all, wamefanya hata wananchi waone hamna umuhimu wa kupiga kura maana mabadiliko hamna. Inasikitisha hii nchi Hadi ije kupata wazalendo wenye uchungu na Raia na sio vyama vyao mbele ndo tutapata mabadiliko chanya.
 
Upinzani nao ni walewale, ccm nao ni wale wale wanajitaftia matumbo yao na kusahau wananchi wao. Imagine after kampeni hawaonekani kuanzia hao kina Mbowe hafu ni vinara kupiga kelele huku wao wametekeleza majimbo yao ni kuongea ongea tu ka chiriku. Mwaka huu wananchi tuwanyooshe Hawa wababaishaji Tena huko Arusha mjini kumu athiriwa na siasa chafu sio kwa jiji la kitalii kutia aibu kwa miundo mbinu
Mimi nilikuwa naawangalia watu wa Arusha tuu jinsi ambavyo wanachezea kaa la Moto,utalii haupendagi vurugu,kulikuaga na mikutano mingi ya kimataifa yote ikaondoshwa kwa sababu ya vurugu,hapo ndo watu walipoanza kutia adabu,maana Car hire zikakosa kazi,hotel nazo.....Mungu ni mwema Hakika nakwambia Lema ananuka Uvundo mbele ya wana Arusha..
 
Lema amefanya kosa gani?

Sana sana nimeona awamu hii akisakamwa mara kwa mara!

Hebu fafanua.
 
Wote kina Mbowe uchaguzi ukiisha hawakanyagi majimboni wao nikuongea tu blah blah, na wananchi waliwaamini no changes at all, wamefanya hata wananchi waone hamna umuhimu wa kupiga kura maana mabadiliko hamna. Inasikitisha hii nchi Hadi ije kupata wazalendo wenye uchungu na Raia na sio vyama vyao mbele ndo tutapata mabadiliko chanya.
Kule Hai mbowe alivamiwa na wananchi wenye hasira kali kwenye Mkutano wakidai maendeleo.......akasema ni fitna....Aijakaa sawa wazee nao wakatoa tamko....shida ni kufikiri kwamba Wananchi wa siku izi ni wale wale wa miaka zote...politic is dynamic.wakicharazwa kesho kutwa ..utaskia uchaguzi haukuwa wa haki.....Hapana Wananchi ndio hawawataki ki ukweli
 
Lema amefanya kosa gani?

Sana sana nimeona awamu hii akisakamwa mara kwa mara!

Hebu fafanua.
Hajafanya kosa lkn atakuja mtaani na sera gani.....mara ya mwisho niliona akigombania Acknowledgement ya Hosipital na Mkuuu wa mkoa..
Wewe unahisi aje
 
Kule Hai mbowe alivamiwa na wananchi wenye hasira kali kwenye Mkutano wakidai maendeleo.......akasema ni fitna....Aijakaa sawa wazee nao wakatoa tamko....shida ni kufikiri kwamba Wananchi wa siku izi ni wale wale wa miaka zote...politic is dynamic.wakicharazwa kesho kutwa ..utaskia uchaguzi haukuwa wa haki.....Hapana Wananchi ndio hawawataki ki ukweli
Wenyewe wamejisahau Sana miaka minne huendi jimboni unaenda kipindi Cha mwaka wa uchaguzi Nani atakuelewa hata kuchonga barabara mbovu mbunge na madiwani hawajaribu kufanikisha Hilo kwanini wananchi wasiwe wakali. Mwaka huu acha wanyooshwe wanatumia wananchi ka daraja lao. As mpinzani lazima uwe mfano wa kuigwa
 
Mbowe yuko zake Dar....hapo machame kwake ni kama New Zeland.
 
Hajafanya kosa lkn atakuja mtaani na sera gani.....mara ya mwisho niliona akigombania Acknowledgement ya Hosipital na Mkuuu wa mkoa..
Wewe unahisi aje

Umejibu vyema.

Sera atakuwanazo tu.

Na kama ulivyosema sote tunakubaliana kuwa jamaa kila alipokuwa akiwa akijitahidi kufanya jambo la maendeleo jamaa alikuwa akimzuia, imagine Eti sababu tu ni mbunge wa upinzani!

Sasa mpinzani akisimamia ujenzi wa hospitali ikakamilika si watanzania wote kutoka mikoa mbali mbali tungekuja Arusha kupata huduma?

Hospitali hiyo ingekuwa kwa manufaa ya Taifa.

Lakini jamaa amekuwa ni limiting factor kwa kila Lema alilotakankufanya lenye kuleta tija.

Anaona akifanya unzinzani utainuliwa Kwani kuna ubaya gani kama ni kwa manufaa ya Taifa?!
 
Hata 2015 mliongea hivo hivo,hilo jimbo lema alifungwa alipotoka akalikuta tena akachukua
Itakua unazungumza kishabiki...wacha tuone baada ya uchaguzi...Lema yeye mwenyewe anajiandaa kuwa Muhubiri,anajua kabisa hawezi toboa,anajua kabisa amepoteza mvuto...achilia mbali ndani ya chama chake ambapo kuna mgogoro mkubwa kati ya madiwani wake na yeye..Nanyaro ni diwani wa kata yetu ya Levolosi,Hary wa Ngarenaro keshakimbia...yote hyo ni umwamba ambao amekua akiuonesha ndani ya chama.
 
Umejibu vyema.

Sera atakuwanazo tu.

Na kama ulivyosema sote tunakubaliana kuwa jamaa kila alipokuwa akiwa akijitahidi kufanya jambo la maendeleo jamaa alikuwa akimzuia, imagine Eti sababu tu ni mbunge wa upinzani!

Sasa mpinzani akisimamia ujenzi wa hospitali ikakamilika si watanzania wote kutoka mikoa mbali mbali tungekuja Arusha kupata huduma?

Hospitali hiyo ingekuwa kwa manufaa ya Taifa.

Lakini jamaa amekuwa ni limiting factor kwa kila Lema alilotakankufanya lenye kuleta tija.

Anaona akifanya unzinzani utainuliwa Kwani kuna ubaya gani kama ni kwa manufaa ya Taifa?!
Umekuja vema,
Wewe unaamini ni kweli Lema amezuiwa kushiriki shughuli za maendeleo?

Na je unaamini kwamba Lema anaeza kuzibwa mdomo kwenye jambo la Maendeleo?kama aliweza kufight apewe utambuzi kwenye ile hosipital aliyotafuta wadhamini yeye, basi tambua tuu hakuna wa kumzuia wala kumziba mdomo Lema anavotaka kupitisha jambo lake,kwa mantiki hiyo Lema ajashiriki kwa lolote kwenye maendeleo ya jimbo sio tuu kimchango bali hata uwepo wa moja kwa moja
Kwenye mapambano ya Corona ajajionyesha kwa lolote,hata uhamasishaji alipoulizwa,alinukuliwa akisema Ajapewa mwaliko n mkuu wa mkoa.
Soko la samunge liliungua juzi,ulimuona?
Tusijadili kishabiki,Lema ni Uvundo kwa wana Arusha.
 
Hata 2015 mliongea hivo hivo,hilo jimbo lema alifungwa alipotoka akalikuta tena akachukua
2015 ni miaka mitano iliyopita,CCM ilikua aiwezi kupumua kwa namna ambavyo ilikua imepoteza ushawishi,mgombea wao Monabani alikua hakubaliku kkwa namna yoyote pia alikua ni mfuasi wa Lowasa....
 
Mnaota ndoto za mchana arusha mjini CCM haipumui hata sasa

Uzuri mmoja kamanda Lema ameshakubali matokeo...anajitaftia nafasi ya kuhubiri uko ndani ya kkkt ya dayosisi ya kaskazi
 
Gambo ndo huyo kafukuzwa kama mbwa ,CCM arusha ilishafutika
Arusha itaendelea kuwepo,hili ni eneo muhimu kwa uchumi wa taifa,na kuanzia mwaka Huu Wananchi wake wameamua kufanya Arusha kuwa sehemu ya Siasa safi.tunaruhusiwa kujiumiza n kujifurahisha kwa hisia zetu na ushabiki wetu...mwisho wa SIKU matokeo yatakuwa yale yale...usitegemee tena lema akapata wafuasi wa kumsimamia na kuhakikisha anatangazwa km ilivokua 2010.
 
Makongoro Nyerere alishinda ubunge enzi hizo hapo Arusha mjini sababu ya Influence ya NCCR Mageuzi enzi hizo chini ya Mrema + watu walikua wanamheshimu dingi yake ila usawa huu Arusha mjini uwe sio mwenyeji/kabila la pale kupata Jimbo ni ndoto aiseeeee.
Vipi nafasi ya Lema maana naye siyo kabila la hapo!
 
Back
Top Bottom