sir ide
Senior Member
- Apr 10, 2020
- 115
- 170
utakufa na pressure mkuu, kunywa maji kwanza ulelax, hakuna kijana mpenda maendeleo kama huyo kihongosi, hapa iringa kaleta maendeleo kupita hata wabunge wenyewe, nina imani kubwa huko arusha wataneemeka na uongozi wake,Gambo juzi kaacha Mkoa wake kaja Dsm kwa UVCCM na Makonda. Katibu Mwenezi wake kaenda Arusha kasema Arusha CCM wanagombana sbb ya kutaka ubunge.
Huyu Kihongosi ni Mkimbiza Mwenge, lakini ndiye siku kadhaa zilizopita alitoa kauli ya vitisho dhidi ya Wapinzani. Alisikika akisema vijana wamteketeze Zitto.
Hii team inaenda ku-deal na Lema,Usalama wa Chama umejiridhisha katika majimbo magumu ya Upinzani,Arusha ni namba moja.
Unaweza kumpa mtu offer ya chakula lakini kumchagulia nini cha kula baada ya offer ni kinyume cha offer uliokusudia. Acheni watu waamue