Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,306
Kama nakumbuka vizuri, baada ya zoezi lile palikuwa na "makubaliano yasiyotamkwa" kwamba japo waliokutwa na vyeti feki walitakiwa wafunguliwe mashitaka ya kugushi na ya kujipatia kipato kwa njia za udanganyifu, suala hilo litafumbiwa macho iwapo na wao watafumbia macho stahiki za utumishi wao.Hela ya dhuluma sio nzuri ,ile fedha wameitumikia ,wamekatwa kwenye mishahara yao ,kazi walifanya sio kwamba hawakufanya ,fedha walikatwa sio kwamba hawakukatwa ,hapa ni kwamba fedha walizozitumikia walipwe.
Kwa Kiswahili kingine, walikaribishwa kwenda kudai stahiki zao, lakini endapo wangefanya hivyo, na serikali nayo ingelazimika kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria kujibu mashitaka ya kugushi...