Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Hela ya dhuluma sio nzuri ,ile fedha wameitumikia ,wamekatwa kwenye mishahara yao ,kazi walifanya sio kwamba hawakufanya ,fedha walikatwa sio kwamba hawakukatwa ,hapa ni kwamba fedha walizozitumikia walipwe.
Kama nakumbuka vizuri, baada ya zoezi lile palikuwa na "makubaliano yasiyotamkwa" kwamba japo waliokutwa na vyeti feki walitakiwa wafunguliwe mashitaka ya kugushi na ya kujipatia kipato kwa njia za udanganyifu, suala hilo litafumbiwa macho iwapo na wao watafumbia macho stahiki za utumishi wao.

Kwa Kiswahili kingine, walikaribishwa kwenda kudai stahiki zao, lakini endapo wangefanya hivyo, na serikali nayo ingelazimika kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria kujibu mashitaka ya kugushi...
 
Nyie machagadema ni washenzi sana!

Hivi kosa la magufuli ni lipi hapo?

Kuwaondoa wezi wa taaluma ndilo kosa lake?

Ni watu wangapi walikosa fursa za kuajiriwa kwa sababu ya hao wezi waliofukuzwa?

Jamani! Aisee...
Wangeondolewa, wangelipwa mafao yao hata nusu, halafu wangeajiri wapya kuziba gape lililotoka vitu vingine haitajiki nguvu nyingi ni hekima tu .
 
Siku za Mrisho Gambo ccm zinahesabika , nimeangalia mwenendo wake haufanani na mwenendo wa kinyama wa ccm

Bungeni kuna watu wengi tu amba wana mtizamo wa Gambo ambao wanaenda na wakati na hawana tena cha kupoteza zaidi ya kurudi na kuwasemea wanyonge bila kujali kama watarudi kwenye Bunge la 2025, hebu fikiria Gwajima atapoteza nini kama hatarudi tena Bungeni au mtu kama Nape? kwa kifupi wanaoruka toka kwenye mtumbwi ni watu wanaojua kuogelea kamwe tusitegemee kuwaona wakizama
 
Anatafuta kiki, mwendazake aliyewaambia wakuu wa mikoa wafanye uhakiki, kwanini hakumwambia hilo??
Ilhali na yeye alikuwa RC, alishindwa nini kusema hayo?? Unafiki na CCM ni uji na mgonjwa.

Everyday is Saturday................................😎
 
Naungana na Mrisho Gambo kwa mara ya kwanza katika historia. Zoezi la vyeti feki halikuwa na tija kwa nchi yetu. Tuliwalenga wenye vyeti vya F4 na ambao ni wafanyakazi wa kawaida. Tukawaacha wanasiasa kama wafuatao;
1. Magufuli mwenyewe alikuwa na PhD itokanayo na andiko la kuigiliza
2. Daudi Bashite aliyejiita Paul Makonda
3. Said Bagaile aliyejiita Hamis Kigwangala
4. Lameck Madelu aliyejiita Mwigulu Nchemba

Huu ubaguzi ni moja ya dhambi kubwa ambazo Mwendazake ALIMKASIRISHA Mungu
Vp kuhusu Kalamaganda Kabugi??
 
Kama nakumbuka vizuri, baada ya zoezi lile palikuwa na "makubaliano yasiyotamkwa" kwamba japo waliokutwa na vyeti feki walitakiwa wafunguliwe mashitaka ya kugushi na ya kujipatia kipato kwa njia za udanganyifu, suala hilo litafumbiwa macho iwapo na wao watafumbia macho stahiki za utumishi wao.

Kwa Kiswahili kingine, walikaribishwa kwenda kudai stahiki zao, lakini endapo wangefanya hivyo, na serikali nayo ingelazimika kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria kujibu mashitaka ya kugushi...
Kwahiyo forgery haina maana sio?

Hapo ina maana walifanya pre bargain na DPP? Swala sio kufuata sheria bali kiutu au kiubinadamu ,makosa hata serikali inafanya tena makubwa ambayo tungekuwa tunafata sheria ilitakiwa viongozi wengi wawe jela ila linafunikwa kombe ili mwanaharamu apite.
 
Waliondelea.Mfano wa china awaamini katika vyeti wanaamini yeyeto mwenye akili timamu anaweza funza chochote akafanya
Siyo kweli

China values education a lot.... Ila kama huna elimu na ukapata chance watakupa.all elite Chinese wanasoma kwenye shule za maana na mitaala mahsusi

Kuna tpfsuti kubwa Kati ya kutumia cheti feki, na kusema ukweli Kwamba hujasoma
 
Hela ya dhuluma sio nzuri ,ile fedha wameitumikia ,wamekatwa kwenye mishahara yao ,kazi walifanya sio kwamba hawakufanya ,fedha walikatwa sio kwamba hawakukatwa ,hapa ni kwamba fedha walizozitumikia walipwe.
Hapa mkuu

Forgery ya vyeti is a crime at least wangekua wawazi

Tunajua cost ya kuhudumiwa na fake certificate person?

Watanzania msikubali magumashi

Vyeti feki ni ufisadi pia
 
Kushambulia mimi hakutakupatia umaarufu hapa jf , hivi unadhani kama Magufuli alilenga wenye vyeti feki ilikuwaje Makonda akabaki , nenda jeshini ukaone kama alifika huko , kwani wale si watumishi wa umma ? hujui kitu kuhusu jambo hili , huyu Gambo alikuwa RC anajua kuliko wewe , endelea kunitukana lakini unachokitafuta utakipata
Agenda ya vyeti feki ilikua Sawa kabisa

Issue ya makonda, mkuu alikosea
 
Hapa mkuu

Forgery ya vyeti is a crime at least wangekua wawazi

Tunajua cost ya kuhudumiwa na fake certificate person?

Watanzania msikubali magumashi

Vyeti feki ni ufisadi pia

Zoezi halijaendeshwa ki fair ,hata JIWE naye alikuwa na PHd feki , Kalamaganda Kubugi naye alikuwa nacheti feki , Daud Albert Bashite ana vyeti feki ,Hamis Nassor Bagaile(Alias Kigwangala) ana vyeti feki ,kama nia ni vyeti feki wangewafukuza na wao including JIWE kuresign kwa wakati ule.
 
... imeniuma sana. Ni zaidi ya shetani; rest in hell forever. Binadamu unafikiaje kiwango hiki cha ushetani? Mungu awafute machozi wahusika.
Kumbuka ilitakiwa wawe wanatumikia kifungo nsaa hivi. Je waliozibiwa nafasi kwa uongo wao? Hivi athari za vyeti feki unazijua wewe au huzijui. Wamepata walichokitafuta.
 
Back
Top Bottom