ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kama kimepwaya subiria 2025.Cha kufahamu ni kwamba Samia hawezi kuongoza Nchi kijinga na kibabe kama Mwendazake neverSi yupo na waziri wa fedha nguli, mwenye PhD ya uchumi first class 🤣🤣 anapotupeleka anajua yeye na mchumi wake msomi🙏suala la maza kutaka kugombea 2025,binafsi namshauri ajitafakari🤔kiti kimempwaya sana 🙏it's very sad😢
Hamieni Uturuki uchumi ni mzuri sana kuleWewe chawa hivi ndio vitu unavyovipenda
Labda umeoza wewe na familia yako, usituingize kwenye uozo wakoKatiba ni muhimu ili kuwadhibiti hawa marais goigoi.inatakiwa katiba itambue hawa marais wa kurithi waongoze mwaka mmoja tu na kuitisha uchaguzi ili kama atakuwa anamatumaini watamchagua na kama ni wa hovyo kama huyu wananchi hawatamchagua.kila sehemu nchi imeoza lakini wapuuzi wachache wanamsifu ili waendelee kuiba pesa za umma.
aliwanyoosha wapenda shobo, hamtakuja sahau 🤣 🤣!!!Mfuate kaburini, mbwa we. Yule shetani hana mfano hapa duniani, hafai.
Wewe mzembe lazima uone maisha magumu kwa kuwa unategemea shemeji arudi kazini akupe hela ya bando na alipie king'amuzi.Anajenga nini huyo muimba taarabu.Maisha magumu kama tupo Somalia!
Wacha porojo uchuni mama kaukuta hohehahe, anaukinbiza na unakuwa kwa haraka sana.Katika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa letu...
Ni masikitiko makubwa Kwamba Sasa watu wanchota mihela Kwa kadri wawezavyo nakukopa mikopo mikbwa mikubwa huku nchi ikiwa Hoi bin taabani . Mfumuko wa bei uliopo Nchini Siyo wa kitoto, wakati huo huo purchasing power ya hela yetu ikiwa Chini Sana,. Pia serikali ikizalisha mikodi ya kila Aina kukandamiza mwananchi wa kawaida...
Samia siyo Raisi wa Kwanza kuvuruga uchumi wa nchi yetu, wapo watangulizi wake waliowahi kufanya hivyo, Sina haja ya kuwataja Maana wanajulikana. Ila Kwa Bahati Nzuri maraisi waliokuwa wanafutia walikuwa wazalendo kiasi ambacho walirudisha uchumi Kwenye mstari.... .
Wasiwasi wangu je tutakuja kupata mtu mzalendo ambae atakuja kuweka uchumi wetu imara, Tuombe iwe hivo kama hatapatikana basi Taifa la Tanzania linaenda kuangamia kama mrithi wa Samia atakuwa na akili hizihizi Tunazoshuhudia Sasa.....
Tukae tukijua seriakli yoyote dhaifu huambatana na mambo yote ya hovyo hovyo, Kama migomo, Rushwa, matajiri kuiendesha serikali, manyanyaso kwa raia, hudumaa za jamii kuwa mbovu etc. etc..
My Advice
"When you're choosing a Top leader of the government, choose wisely." By me.
Duh!..Wizara ya Ardhi Posho ni Bilioni 47 kutoka kwenye Mkopo wa Bilioni 330 kutoka Bank ya Dunia
Magufuli aliharibu uchumi ifuatavyo:-Magufuli alivuruga Uchumi upi wakati ndio rais aliyeingiza nchi uchumi wa kati mnajua huu unafiki wenu na uwongo mnaoufanya mitandaoni mnaharibu nchi wenyewe halafu mnamsingizia Magufuli sijui mnatumwa na walamba asali na majizi kila baya likifanyika mnasema kafanya Magufuli ila mazuri yake hamtaji mnayachukua na kujisifia nayo kama juzi ikulu ya dodoma
Ndio umekaa ukatungaa huu uchafu kutuaminisha propaganda za kinafiki tumeona Magufuli hakuwa rais bora hakuna wakuamini vitu kama hivi vya kutungwa na vyeti feki na walamba asali vipi vitabu vyenu vya chato vimenunuliwa vingapi mlivyotumia kumchafua MagufuliMagufuli aliharibu uchumi ifuatavyo:-
1. Mabenki ya Biashara kufungwa
2. Wasiojuoikana
3. kudhulumu watu haki ya kuchagua (serikali za mitaa+kuu)
4. Kubambikiza watu kesi
za uhujumu uchumi
5. Uonevu wa Bashite
6. Sakata la bisdhsra ya korosho
7. kuvunjia watu nyumba, kimara mbezi
8. Bias na kutokuwa considerate sakata la vyeti feki
9. Kauli mbaya na kutweza utu wa watu in public
10. Kutoheshimu katiba
11. Mishandle ya Covid - hasa second wave
12. Rushwa kwenye siasa (ili watu waunge mkono juhudi)
13. Kuligeuza bunge na mahakama kuwa kama nguo yake
14. Propaganda kali, uwongo na brainwashing
15. Kuharibu private sector
16. Kukataa kuendeleza mchakato wa katiba wakati iikuwemo kwenye ilani ya CCM 2015
17. Kuua private sector
18. White elephant projects za Chato tena wakati mwingine kukiwa hakuna fully participation ya bunge
19. Kutoongeza nyongeza na kutoa stahiki za wafanyakazi zilizoko kwa mujibu wa sheria
20. TRA kubambika watu kodi
Wewe ni MSUKULE tu ambaye umebaki hai baada ya aliyekushikia akili zako Magufuli kufa bila kukurudishia akili zako. Mimi nimeweka issues nilizochagua ambazo Mwendazake alifanya vibaya. Unapaswa uje na hoja ya kupinga.Ndio umekaa ukatungaa huu uchafu kutuaminisha propaganda za kinafiki tumeona Magufuli hakuwa rais bora hakuna wakuamini vitu kama hivi vya kutungwa na vyeti feki na walamba asali vipi vitabu vyenu vya chato vimenunuliwa vingapi mlivyotumia kumchafua Magufuli
Kwa Mkapa uko sahihi lakini kwa Kikwete na Magufuli sio sahihi.Aliharibu Mwinyi, Mkapa akapata kazi nzito kurudisha nchi kwenye mstari.
Akaja Msoga, ufisadi ukatamalaki. Magufuli akainyoosha kwa kasi.
Kaja mama, afanye yake. Alafu akimaliza aingie Mgalatia kusawazisha.
Ukweli ni kuwa, Wagalatia ndiyo hufanya kazi nzito mno. Na pengine vifo vyao huwahi kwa sababu ya mizigo mizito wanayojitwisha kwa maslahi ya nchi.
Kama Magufuli angekuwa hai leo - sukari ingekuwa kwa mgao, watu wangekuwa wanakula mlo mmoja kwa siku, watu wangevaa kaniki, sabuni za kuogea mngetumia jamaa (mngeambiwa za kutoka nje ni za mabeberu na ni anasa), mngekuwa na TBC radio & TV 24hrs, station nyingine zingefungiwa au kufikisiwa/ka; mabanki yangekuwa yamefungwa/filisika(wa) labda CRDB na NMB tu ndio wangekuwa sokoni - mngepata muda mzuri sana wa kumwimbia mapambio. Mngefurahi kuwa na nchi isiyo na. Matajiri wala ukwasi. Mngefurahi zaidi wote kuwa sawa (egalitarianism).Magufuri alikuwa anawanyooshea inchi hapa mkamwita muuwaji, sijui katili mara dikteta, MUNGU kamchukua sasa ni mwendo wa hawa mnaowataka wanaoharibu nchi hadi mtanyooka.
Haa chawa wanakuambia kwa sàsa ndo uchumi umeimsrika etiiKatika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa letu...
Ni masikitiko makubwa Kwamba Sasa watu wanchota mihela Kwa kadri wawezavyo nakukopa mikopo mikbwa mikubwa huku nchi ikiwa Hoi bin taabani . Mfumuko wa bei uliopo Nchini Siyo wa kitoto, wakati huo huo purchasing power ya hela yetu ikiwa Chini Sana,. Pia serikali ikizalisha mikodi ya kila Aina kukandamiza mwananchi wa kawaida...
Samia siyo Raisi wa Kwanza kuvuruga uchumi wa nchi yetu, wapo watangulizi wake waliowahi kufanya hivyo, Sina haja ya kuwataja Maana wanajulikana. Ila Kwa Bahati Nzuri maraisi waliokuwa wanafutia walikuwa wazalendo kiasi ambacho walirudisha uchumi Kwenye mstari.... .
Wasiwasi wangu je tutakuja kupata mtu mzalendo ambae atakuja kuweka uchumi wetu imara, Tuombe iwe hivo kama hatapatikana basi Taifa la Tanzania linaenda kuangamia kama mrithi wa Samia atakuwa na akili hizihizi Tunazoshuhudia Sasa.....
Tukae tukijua seriakli yoyote dhaifu huambatana na mambo yote ya hovyo hovyo, Kama migomo, Rushwa, matajiri kuiendesha serikali, manyanyaso kwa raia, hudumaa za jamii kuwa mbovu etc. etc..
My Advice
"When you're choosing a Top leader of the government, choose wisely." By me.
Ningeshaa sana kusingekuwa na comment ya namns hii ,kutoka kwenuUchumi wetu uliharibiwa na mtangulizi wake aliharibu Sana nchi hii
Naona unajichanganya .Kama hana basic skill , na competency anawezaje kumzid jpmSamia kwa miaka michache kamzidi hayati Magufuli kwenye uchumi na diplomasia. Pia kwenye demokrasia na haki za binadamu kamzidi kwa mbali.
Udhaifu wake mkubwa uko kwenye usimamizi - hana basic skills. Competence yake kwenye good leadership ni ndogo.
Ila sasa afanye kazi moja tu muhimu, atupe Katiba Mpya. Akifanya hilo ataandika jjna lake kwa wino wa dhahabu katika historia ya Tanzania. Pia atakuwa na heshima na baraka hapa na milele
Mzazibar hana hata chambe ya uchungu kutoka tanganyikaHuyu mzanzibar atatupoteza
Nimefurahia ulivyomalizia ndo ukweli wenyewe huyu mama amna kituKwa sasa Taifa lina hitaji Kiongozi, wewe ni mfanya biashara, una kwenda Bank kulipia mzigo, unaambiwa USD hakuna, jaza form za malipo ya nje, ziache hapa tutakupigia simu tukijadiliana na Branch manager tuone kama itawezekana, hivi kweli tutafanya biashara kwa mtindo huu? , online transactions zote zime kuwa affected, hata kama una transact 500$ haiwezekani, hairuhusiwi hadi uende Bank, ujaze form na uache wakijadili, au urudi kesho yake uulize vipi ombi langu lime kubaliwa? , Mama Samia Raisi wenu ni bure kabisa, yaani yupo yupo tu hajui ni afanye, biashara imekuwa ya hovyo sana.
Tz shillings thamani ina shuka kwa kasi ambayo toka tupate uhuru haijawahi shuhudia, binafsi nilijua Mama yenyu hakuna kitu , lilikuwa suala la muda tu, kibaya zaidi yuko busy kutaka kuwa Rais 2025, hii nchi pengine wananchi kuna utindiwa wa ubongo sio kawaida hii.
Abinafsishe na BOT kwa kuwa kichwa cha yule bibi kila akiona changamoto yeye immediately solution kwake huwa ni ubinafsishajiHili suala la kumsifia mama anupiga mwingi wakati uchumi unazidi kudorora ni upuuzi mkubwa na bahati mbaya hakuna jitihada zozote serikali inafanya kuchukua hatua juu ya hilo. Bidhaa kupanda bei, tozo na kodi kandamizi kwa wafanyabiashara, ukosefu wa ajira na jinamizi la pensheni pamoja na bima ya afya ni changamoto ambazo hazipaswi kukaliwa kimya. Nadhani ni suala la muda tu wananchi watachoka na kuamua liwalo na liwe.