Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

Mtu ambaye hajawah fanya kabisa biashara anaweza waza kwamba kuna biashara ambazo hazina stress, mimi mpaka sasa sijaona!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko mkoa upi
 
sasa kauliza afanye biashara gani ambayo ata fanya huku yupo kazini 😅😅
Hiyo ni biashara au ni michezo yakubashiri mkuu yaani ni sehemu ya kutumia pesa kama kujiburudisha sema sie waswahili tushakariri ni biashara ya kutuingizia kipato 🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo ni biashara au ni michezo yakubashiri mkuu yaani ni sehemu ya kutumia pesa kama kujiburudisha sema sie waswahili tushakariri ni biashara ya kutuingizia kipato 🤣🤣🤣🤣
ulikuwa ni utani boss kuna mtu alimwambia kama hawezi simamia biashara basi awe anasuka tuu mikeka na mimi nika reply kwa utani au awe anacheza aviator
 
Kama mafuta ya alizeti na uweke kwenye vifungashio, unazihesabu chupa, au weka godown mazao wanapoanza kulima bei ya mazao Huwa juu, unauza kwa faida.
Kilimo na biashara ya mazao ni sekta ambayo wengi wameipa mgongo.

Nunua mazao wakati wa mavuno yatunze utauza kwa bei nzuri sana yenya faida nzuri miezi ya mbeleni baad ya mavuno

Mfano rahisi tu: Gunia la mahindi sasa hivi msimu huu wa mavuno baadhi ya maeneo ni 60k mpaka 90k hapa Tanzania

Kufikia mwezi wa tisa sehemu zote Tanzania wanakuwa wamemaliza mavuno

Piga picha kuanzia mwezi wa January na kuendelea gunia la mahindi litakuwa shilingi ngapi kama ulinunua kwa 60k wakati huu wa mavuno

Storage ndio mpango mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…