Hahahha samahani kijana wangu. Ila ile tabia yako ya kupiga chabo ushaiacha?? Kama tayari nikufanyie mpango kwa amu
Mwenzenu nyumbani hapaliki wala hapalaliki, nimepotelewa na Kikuku changu siku ya White Party.
Kama kuna mtu alinionea basi anairejeshee tafadhali.
Hivi siku zile nilikuwa nimekaa na nani vile??????????????? LOL
Hehehehe Paloma alikuwa na kazi ngumu ya kuukabili ubakaji wa Vin Diesel. Huyu kijana zikimshuka hajali cha mnadi swala wala nani sijui...
Kama si ulinzi shirikishi wa watu8, hivi leo Paloma angekuwa mjamzito
Unanionea bure, mi kwenye party yenu wala sikuja. Na umri huu mambo ya party wapi na wapi?
cha mguuni au cha kiunoni?
Vin Diesel toa ushirikiano hapa, lazima panakuhusu.
Uliposema kikuku chako kilipotea,ikabidi na mimi nijisearch changu cha kiunoni...Nashukuru bado ninacho .....ah sijui ningemuambiaje Filipo
Bdo kpo kile kile nlchokiona siku ile au ulinunua kingine?
figganigga kuya huku uje usome Mstari wa Mwisho
Nilijidai naenda towilet ku bip maliwato, nikamuona figganigga ananizengea, nilimpa za uso nikasepa zangu wala hakuona mlango niliotokea alikuwa hajui kuwa mie natokea Katoro
Mhm!KATORO-GEITA, au nyingine!
Nakumbuka mara ya mwisho chupa ya hiko kinywaji ilionekana katika meza ya akina cacico.
Sijamtaja Maxence Melo tafadhali
Msije nizushia maana nilimsikia Asprin akimuomba asitupige BANI