figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
nadhani wanifananisha na Jiwe Linaloishi....mie muda wote nimecheza na marejesho....
Uliposema kikuku chako kilipotea,ikabidi na mimi nijisearch changu cha kiunoni...Nashukuru bado ninacho .....ah sijui ningemuambiaje Filipo
Kikuku he nani atachinja sasa, sie hatuli mkichinja nyie hicho kikuku.. Aku..!
je mimi nlikua nacheza na nani? tumuulize marejesho?. mia
Mapenzi yako ya mbali yananishinda Nicas Mtei
Nafanya mpango uhamishiwe huku Kigali ili tuwe karibu. Kuhusu hlo wala usiwe na shaka.
usimuamshe mtoto amelala.......
Primary evidence....................................................................
Sio Mamndenyi kweli huyo?
Shhhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......... Jeska usijibu hili swali tafazali
ajajajajaja. Ruttashobolwa hebu nitumie akaunt number yako please.
msiri wangu mwaJ walau ulikuwa makini cha kwako uliondoka nacho intact...Si ulikuwa umekaa karibu na figganigga na Thanda? Kwani umewauliza wamesemaje? Mzee wa mia na rafiki yako hebu rudisheni kibata cha mtoto wa watu!
ukirusha jiwe gizani kisha ukamsikia mtu amepiga kelele ya kuumizwa na jiwe maana yake nini?
offender detected