Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

rutta njoo huku kuna mtu anataka kuharibu cv yako, eti una tabia ya kuuuu kuu kuuu, mtei acha hayo mambo kwa nini unang'atia nyasi ili nisahau?

sikia Voice of Wisdom. Maisha ni zaid ya tunavyoish. Itabd leo tukutane ili tumalize hlo sakata.. Rutta hana tatizo
 
Last edited by a moderator:
Jeska kingekuwa kikuku cha kushoto ningekusaidia kukupigia kampeni kirudishwe! Ila cha kulia. . .achana nacho tu!
 
Last edited by a moderator:
Jeska kwa kuwa unafahamu Fika, sikupewa ruhusa ya kuja huko kwenye White part , Basi umeamua kunirusha roho na kikuku chako, hamna shida ila ikitokea ingine kwa kweli naweza kuja.
 
Best ujue ulikosa uhondo sana....

Jeska kwa kuwa unafahamu Fika, sikupewa ruhusa ya kuja huko kwenye White part , Basi umeamua kunirusha roho na kikuku chako, hamna shida ila ikitokea ingine kwa kweli naweza kuja.
 
Last edited by a moderator:
Best ujue ulikosa uhondo sana....

We acha tu watu8, roho iliniuma sana, lakini ndiyo hivyo siruhusiwi kutoka bila ruksa yake, sijui huu mfumo utaisha lini nasi tuwe tunatoa order kwa wanaume.Loh!!!
 
Last edited by a moderator:

He he he he... Jamani kama kuna mtu aliyekiona au aliyekichukua ajitokeze basi....
Au madai ya huyo mtu aliyechukua Kikuku anataka amvalishe mwenyewe? Jesca usingeweka picha ya miguu nakuhakikishia ungeshakipata mapema... Hapa mwenye nacho anataka aje akuvishe kikuku kwa mikono yake......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…