DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mimi sina group na sifanyi biashara ya kuuza maarifa, haya maarifa tumepewa na Mungu hivyo siwezi kushindwa kummulikia mwanga MTU yoyote aliyepo gizani.Kujiunga na group lako la whtsap bei gani
Ushauri wa kitabibu ndio dawa,ila wenye kuzingatia hali na mazingira yakoNimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.
Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.
Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.
Naombeni msaada.
Jobless + mapenzi soon kitawaka
dawa yako anayo Bwana Yesu. nikuhakikishie!
usiende kwa hawa watumishi makanjanja wauza mafuta na maji.
AMUA KWA DHATI YA MOYO WAKO KUMPA YESU MAISHA YAKO, ATAKUOKOA.
YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Leejay49 wa IINimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.
Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.
Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.
Naombeni msaada.
Na ndicho wanachofanya wengi siku hizi ni bangi na Malaya tu, kupoza machunguvuta bangi
Leejay49 chukua namba upate tibaPole mkuu nahitaji kukuandikia mengi on how you can overcome that challenge.
Check on me +255658124288 via WhatsApp then I will share with you A lot about negative emotions.
Naomba na MTU mwingine ambaye yupo na msongo Wa mawazo anicheki
Muhimbili ulikuwa unatibiwa sonona au?. Kama Toka uko chuo mpaka sasa ishakuwa psychosis hiiChanzo nilipata supplementary SoMo moja watu wakaanza kunicheka ila nashukuru nilimaza chuo japo Kwa kuchelewa.
Mtu jobless bando la kusikilizwa mahibiri analitoa wapi?. Huyu anatakiwa kwanza kuishi na uangalizi ili wazo la kutothamin uhai lisiendelee kukaa karibu na yey.Ingia YouTube then msikilize Pastor Tony Kapola. Mungu atakusaidia!..
Kamwe usitukuze mateso yako wala kuyasikilizia, utaumia sana. Jua hakuna kubwa duniani. Yote Mungu aliyoyaachia yaje kwetu tunayamudu na yana maana katika maisha yetu.
Yaangalie maisha kwa upana mkubwa, sahau yaliyotokea. Dunia hii ina wanawake wazuri mno kuliko huyo uliyemwacha, tafuta mwingine.
Usikute anakataa kukaa kijiwen sabab akikaa kijiwen stori zao ni graduates tu. Wanamfukuza teknikali. Cha muhimu ahame hayo mazingira aliyoyazoea kwanzaUsipende kukaa mwenyewe jichanganye na watu ni kheri mka danganyane kwenye vijiwe vya kahawa, uta cheka na kufurahi kuliko kukaa peke ako
Kwa nn iishie hapo? Mto mada anasema sonona akiipata kabla ya huyo mwanamke kutengana nae.Huu uzi ulipaswa uishie kwenye hii comment...
Mleta uyasome yaliyoandikwa hapa na uyafahamu...
Kama uko dar tembelea sinza Mori Kuna ajent pale wa kazi za nje ya hii nchi anaitwa competitive manpower limited.Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.
Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.
Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.
Naombeni msaada.