Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Kuna kijana mmoja hapa wa kiume nishawahi msaidia mpaka akapata mke mwingine akaoa kabisa , siku akanipigia yupo na mke wake mpya anatoa ushuhuda, pm Iko wazi Kama ni utaniambia, sijui nianzishe hii project niwe nalipwa kabisa
Tuma number yako anaweza kusaidiwa
 
Asante
 
ni ujinga tu, boyfrendi ndio wa kumlilia alizaliwa naye?
 
Kawaida hiyo hata wanawake kila siku wanapeleka kilio kwa wanaume ila tulijifunza kufa tukitabasamu.
Atamsahau tu ila bila shaka anamfuatilia mtandaoni anachungulia kapost nini, anaendeleaje
Duh
 
Yaan mtu aache kuhudhuria vipindi Chuo, kisa kuachwa na BF?
hicho ndo alicho endea huko Chuo? Dooooh

Msibaa huu, [emoji22][emoji22][emoji22]
Labda sio mngoni, kama ni mchagga sauwa😂
 
Asante💯
 
A
Time heals, ajitahidi tu na kuacha upumbavu asije kufa kabla time aija Mheal; nimepita hapo kwenye maumivu similar na hayo; unaweza kufa ukiwa mpumbavu!
Asante...pole
 
 
Asante ..ntamkabidhi huu ushauri
 
Ngono ndo kitu mnakijua wabongo
 
Mwambie atafute negative think mabaya kuhusu huyo boyfriend wake itamtasaidia kurecover.
Akishindwa mwambie time heal mda utamponya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…