Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Kama anapenda mikuyati mwambie kwa hali ilipofikia sasa aachane na Gen Z atafute tu mwanaume mtu mzima amlee. Katika hili atakuja kunishukuru! Siku hizi kwa hii milegeza sarawili hakuna wanaume hapo!
Asante
 
Kwenye kuachana mwanamke hua inamchukua muda mrefu kuumia. Kama alikua anampenda sana jamaa. Muache aumie baadae atakaa sawa na maisha yataendelea.
 
Asante
 
Hapo ni ishu ya subconscious mind brain servers tu alijaza 90% positive things zaidi kuhusu huyo boy mwambie atafute mabaya au madhaifu ya huyo boy ayajaze kwenye savers ya akili yke then ndani ya mwezi atakuwa amepona.
Sociology healing
 
Acha ajinyonge tu huyo ili wajinga wapungue apa Bongo labda tunaweza kupata maendeleo kama taifa.
 
Hapo ni ishu ya subconscious mind brain servers tu alijaza 90% positive things zaidi kuhusu huyo boy mwambie atafute mabaya au madhaifu ya huyo boy ayajaze kwenye savers ya akili yke then ndani ya mwezi atakuwa amepona.
Sociology healing
I'll let her know
I appreciate
 
Nimejaribu kuvuta picha ya Boyfriend wa Chuo nikachoka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

mwambie aache chuo utanishukuru, huyo kaka ataoa na maisha yataendelea πŸ˜…
Waanakuwaga choka mbaya hana hata mia...umenikumbusha ile mbali enzi za Uni 2014 tunaenda cafteria kutafuta ubwabwa uliobaki mnauziwa jero sahani
 
Watoto wetu wa kike mungu awasaidie

Mwambie uyo shoga Ako aende shule wazaz wamelipa ada haoni uchungu wa pesa za wazaz wake anaonauchungu wa kuachwa na kivulana
Thanx God mie sio shabik wa mapenz sipend hekaheka
 
Aya dada imemfikiaπŸ“Œ
 
Nipe namb yako wewe,nikushauri jinsi ya kumsaidiarafiki yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…