Thanks for this adviceIla mwambie hii philosophy
Useful versus important
Mwambie next time anapokuwa na mahusiano yawe yakimapenz kikazi nk
Mwambie awe important and not useful
Ukiwa Una offer vitu positive Kwa mtu unakuwa important and not useful hata ikitokea umeachwa au umebreak up hautajuta Sana .
Ukichunguza zaidi RFK yako she has nothing to offer zaidi ya body yake.
So ataachwa Sana
Useful - mtu wa manufaa huyu unamtumia pale unapokuwa na shida Kwa kipindi Fulani Ila Kazi yake ikiisha mnaachana Kama hamjawahi kuonana.Thank for this advice
But what can she offer so that she become important
Nimependa hio point 📌Useful - mtu wa manufaa huyu unamtumia pale unapokuwa na shida Kwa kipindi Fulani Ila Kazi yake ikiisha mnaachana Kama hamjawahi kuonana.
Important- muhimu mtu wa muhimu
So some women ni useful hutumika na wanaume Kwa kipindi fulani na kuachwa
Nipe na mimi namba nimsaidie kama dada yakeNtakupa number
Kwa yeyote yule ambaye ameumizwa,au ana huzuni au anahisi kukata tamaa
Amsikilize my girl maria carey
View: https://youtu.be/0IA3ZvCkRkQ?si=8HOs-tOq3fsbtDNM
Ni hayo tu!
Anywe maziwa ya mgando kila siku mara tatuIvi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?
Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..
Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa
Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku jukwaani maana motivational speaker na washauri hawakosi ili tumsaidie....
Anaweza kujidhuru Kwa Hali hii kashindwa kumsahau boyfriend wake kabisa...
Ni hatua zipi anaweza kufata ili kuwa katika ukawaida au mambo yapi afanye
Lipia tangazo mapema mkuu😂😂Kuna kijana mmoja hapa wa kiume nishawahi msaidia mpaka akapata mke mwingine akaoa kabisa , siku akanipigia yupo na mke wake mpya anatoa ushuhuda, pm Iko wazi Kama ni utaniambia, sijui nianzishe hii project niwe nalipwa kabisa
wewe msagaji unajua nini kuhusu mapenzi ya mwanaume na mwanamke?Asikilize hizi nyimbo:
Better in Time by Leona Lewis🥰
Even Heaven Cries by Monrose😇
Stronger by Kelly Clarkson 💪
If You want Love by NF🤗
Happy by Pharrell Williams😃
Sepa by Appy😏
Enjoy by Jux🥳
Attention by Whozu 😄
Mubaba wangu by Rose Ree 🙌🏻
Poa by Maua Sama 👍
Shuu! by Aslay 👌
The title of the song is HERO my dearWhat's the name song
Sawa naweza kumshauri kwakua na mimi nimeyapitia hayoNtakupa pm
Nipe namba yake au yako najua sisi wanawake tunapitia mengi kwenye maishaKaribu
Rubbish tupu. Wazazi wameteketeza Ada bure kabisa.Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?
Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..
Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa
Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku jukwaani maana motivational speaker na washauri hawakosi ili tumsaidie....
Anaweza kujidhuru Kwa Hali hii kashindwa kumsahau boyfriend wake kabisa...
Ni hatua zipi anaweza kufata ili kuwa katika ukawaida au mambo yapi afanye
Wew ni mwanmke kweli?Nipe namba yake au yako najua sisi wanawake tunapitia mengi kwenye maisha