Msaada kwa rafiki anayeuguza moyo uliovunjwa

Mchukue, mtoe out nenda nae sehemu nzuri.
Ambayo hajawahi kufika, mkaenae huko.

Akajionee dunia inavyoendelea.
 
Hakika
 
Ninao dawa inaweza kumsaidia. ila awe amedhamiria kweli kweli kumsahau...
 
Ila Gran Pa, umenichekesha hatarii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa bubu za wanachuo, Woiiiih.

Sasa si atulie na awe buzzy na masomoo, kulilia kijana wa watu haisaidiii.
Kuna watu wamepigwa buti na mapenzi hapa duniani, na hawana namna, wana survive km kawaa.

Mwanachuo kulia lia kisa kuachwa na BF naonaa ni msibaa kabisaa huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba namba zake
 
Boraa usemee wee, yaan ningekua mie ndo shoga ake,
Ninge mchamba angejuta kulia lia hovyoo na kijana wa watu.
Aaaah
 
Mwambie aache kujione huruma sana naanache haraka kutumia mawazo yake vibaya, duniani lazima tuteseke kwa zamu na kila mtu atateseka na asipoteseka atateswa kwa nguvu na mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…