Chizi huwa anachekesha kama hatoki kwenye familia yenu...Hayo mambo ni magumu km yanakuhusu.
Ni kweli na huwezi kuyabadilisha,mpokee cm zake zungumza nae vizur tu na kumwelewesha taratibu kwa upole ataenda anaelewa tu,mzazi ni mzazi tu hata afanye nn ni wa kwako tu.Hayo mambo ni magumu km yanakuhusu.
Japo inauma, lakini nimependa sana mentality yako mkuu!Kijana bado uko chuo hapo unatengeneza future yako wewe kama wewe we ni kama mm sema mm huwaga sifuatilia mambo ya nyumba ntkupa baadhi ya hints zangu mm the way I don't my anyone's business
Mimi nakaa na wazazi sijui migogoro yao ila wametengana likizo kama ni mwezi naenda wiki moja huku wiki nyingine huku wiki mbili zilizobaki narudi dar kupiga mishe zangu na kupumzika sitaki kufuatilia nikipata pesa nagawa nusu kote watajua wenyewe baadhi ya matatizo ya wazazi huwezi kuyabeba wale ni binadamu Kama wewe usijipe stress sana kaa mbali si kaolewa kamsalimie kwani unataka kunyonya ushakuwa mkubwa piga mishe zako maana hukai nae tena
Daah[emoji38]Kijana kumbuka anaelala na mama yako ndio Baba yako huyo... Huyo janki aliemuoa mama yako akikupigia simu.
Msalimie Shikamoo Baba.
Mengine waachie wao wazazi, wewe fanya yako ukifuatilia saana utaumiza akili yako bure tu.
Fuata ushauri huuKijana bado uko chuo hapo unatengeneza future yako wewe kama wewe we ni kama mm sema mm huwaga sifuatilia mambo ya nyumba ntkupa baadhi ya hints zangu mm the way I don't my anyone's business
Mimi nakaa na wazazi sijui migogoro yao ila wametengana likizo kama ni mwezi naenda wiki moja huku wiki nyingine huku wiki mbili zilizobaki narudi dar kupiga mishe zangu na kupumzika sitaki kufuatilia nikipata pesa nagawa nusu kote watajua wenyewe baadhi ya matatizo ya wazazi huwezi kuyabeba wale ni binadamu Kama wewe usijipe stress sana kaa mbali si kaolewa kamsalimie kwani unataka kunyonya ushakuwa mkubwa piga mishe zako maana hukai nae tena
Habari yenu wana JF, poleni na mihangaikio ya kuendelea kulijenga taifa.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja kikubwa hapa nchini,hivi majuzi nilipokea taarifa kutoka mbeya nyumbani za kuumiza sana moyo wangu,taarifa ilikuwa hii. Eti mama yangu ameamua kuhama mji bila kumuaga mzee wangu,karudi kwao Mafinga Iringa na akaamua kuishi hapo kwao kwa muda usio eleweka.