Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Pole sana, lakini mwache dunia itamhukumu na kumwadhibuti mama yangu ameamua kuhama mji bila kumuaga mzee wangu,karudi kwao Mafinga Iringa na akaamua kuishi hapo kwao kwa muda usio eleweka.
Tukirudi nyuma,mama alishatuharibia sana mji kwani alifikia hatua ya kuuza mashamba ya familia bila kushirikisha mtu yeyote na akajiingiza kwenye madeni lukuki.
Hivi majuzi pia nilipokea ujumbe mfupi kutoka kwa ndugu wa karibu kuwa mama ameamua kwenda migodini na huko anafanya vitu vya ovyo sana na vya kutia aibu sana...yaani kama vile amekuwa ni binti mdogo.
Juzi pia nikapokea taarifa mbaya sna kupita zote kuwa ameolewa na kijana mdogo rika la kwetu sisi vijana wake na amefikia hatua ya kumpeleka kabsa pale nyumbani kwao....Ni almost 55's-60's anatembea na kijana wa 25s-40s,hii ni sahihi kweli?
Kuwa na akiba ya maneno...kichaa anachekesha ikiwa hatoki kwenye familia yenu.....usiombe yakukute utatamani ata usingezaliwaTatizo mdingi wako hampigi vizuri pipu mama yako,wacha aje kwetu tumpige pipu vzr
Ah wap....mama mpumbavu kama huyu hata akikupa laana haikupati hata kidogoNikirudi nyuma ktk Stori yako mama aliuza mashamba ya familia,na alikuwa na madeni mengi,nadhani hayo ambayo anayafanya sasa hivi huenda ni stress zinazo tokana na msongo wa mawazo.
Anyway yametokea ya kutokea na huna namna ya kuyabadilisha ingawa ni mazito kuyabeba ukiwa kama kijana wa kiume,kubwa ambalo naona ni la muhimu Sana ni wewe ujitahidi usiathirike na hayo yanayotokea mpaka kufikia kushindwa kutimiza ndoto zako,wazazi wameishi Maisha Yao basi na wewe jitahidi uishi Maisha yako,umetoa mfano mzur Baba amekupigia ukamwambia mwache mama kama alivyo nae akakusikiliza basi nawe uwe imara kama Baba yako.
Mwisho mama yako hata awe vipi ni mzazi wako,mpokelee Simu yake na msalimiane usimuwekee kinyongo,kitendo cha wewe kutotaka kuongea nae kitamkera na akinung'unika huenda kwako ikawa mtihani Sana,maana Hilo Linakuwa bifu lako na Mola wako na sio na mama yako.
Broo be strong,kuna a lot of things a head of you,kwahiyo SONGA MBELE na endelea kupambana
Kuna mijimama ina laana sana.Kuna mam mmoja vingunguti miaka ile alikua anatembea na marafiki wa mtoto wake wa kiume. Siku dogo alipogundua alimuambia mama yake.
Kuanzia leo nitaenda kusikojulikana na hutakaa unione Tena.
Mpaka Leo dogo hajaonekana
Huyo ni mama yake sio mtu Baki tu. Sasa hasimfuatilie Kwa Nini?Acha zako yaani umfatilie mama ako mambo yake binasfi tena kuhusu mapenzi,tuliza akili endelea na masomo tu.