Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

Nimepigwa mno na single mothers ambao niliamini baada ya 'kupigika' tungeyajenga vizuri sana kwa maana wameshayajua maisha, lakini wapi!

Wa kwanza kanipiga, visa havieleweki tu kila siku. Mwishowe tukaamua yaishe.

Wa pili kanipiga, mtoto akikohoa kidogo tu zinaanza safari za 'kwenda kumtibu'. Nikaona nachotaka kufia hapa ni nini?

Huyu wa tatu ndio jana kaniuliza kabisa, huku mdomo akiwa kaupeleka pembeni (ishara ya dharau), "Hivi wewe kwa akili zako unafikiri kabisa nitamsahau niliyezaa nae? Mfyuuuu!"

Nimeondoka nyumbani mpaka sasa sijarudi.

Wadau, wapi anapatikana asiyekuwa na mtoto katika umri huo nijiandae kula nae kikokotoo?

Nimekwama, tusaidiane.
Wacha upigwe tu hadi akili zitakapokukaa vyema. Mabinti wamejaa mtaani unakosaje binti wa miaka kuanzia 27 hadi 30s. kuna mahali unafeli, wenzio tunalemewa tunashindwa kuwakwepesha wewe huwaoni, really?
 
Haina noma

Nakupa ushauri wa kijinga na wa kitoto pia...ukiamua kukataa ndoa kataa ndoa hadi kifo kikutenganishe ili kupunguza stress ukifika 40+ kama mleta mada(na wewe kama ni mmoja wao)
Maswala ya ndoa yametoka wapi na ni wapi nimekataa ndoa
 
Wengi bado ni tegemezi tu kwa hao waliowazalisha. Ndio maana hawaishi kupashana viporo ili huduma zirndelee. Mkuu dunia bado sana ipo mikononi mwa mwanaume, bado sana kupindua meza.
Haha this sounds like the last kick of a dying horse (and probably the weakest and harmless) lazima muendelee kujitetea kwa nguvu zote ili ionekane hamjashindwa lakini hali halisi tunaiona, dunia imeshatoka kwenye kuamini maneno matupu siku hizi watu wanahoji na wanaangalia hali halisi, na ni kama wanawake wameona wamelalamika vya kutosha na hakuna aliyewasikiliza sasa wameamua kujibu mapigo na hatimaye mayowe ya wanaume yameanza kusikika kila kona
 
Mkuu,
Huenda itakuja kuwa unavyotamani, ila kwa ground sasa hivi bado sana. Wanawake ni tegemezi sana tu japo kuna kundi dogo sana(huenda <5%) ndio linafanya uone kuna nguvu kubwa ya mwanamke katika uchumi.
Hata hivyo mimi nawatakia kila la heri, wazalishwe na kuachwa ili walee wenyewe, kama ndivyo wanaona bora kuishi.
 
A
Ni kweli mkuu
Suala la mwanaume kuingia kwenye ndoa lipo mikononi mwake kwa asilimia nyingi...hasa kwa umri huo uliutaja

Hata mleta mada akiamua anapata na kuoa ndani ya mwaka huu
Kiingia binti below 25 hana mtoto na akamvumilia huyu mtu basi atakuwa naundungu na queenElizabeth vinginevyo jamaa anahela za kutosha.
 
Jirani hiyo fursa hapana, mpk anafika umri huo hiyo miaka ya kuoa yy alikuwa wapi??
Wakati wenzie wanachukua wake wa kuoa yy alikuwa anafanya nini??
Jirani we hujaona kuna kikokotoo hapo miaka 7 sio mingi
 
Mie nimeunga mkono hoja ya Watu8 kwasababu hakuna namna naweza kumpinga...akisema ni chaii nakubaliana nae tu 🤣

Uzi wako ni chai lakini sio kivile
Haya, endelea kumuunga mkono ila kuna siku atatamka 'chali' badala ya chai ujikute matatani
 
Inategemea ujiwekaje, 43yr bado kuna wanawake wengi sana 25-32 walojitunza hawana watoto unawapata ingawa pia unaweza pata wale walio desperate na maisha ya ndoa wakaanza kukuksumbua ndoani.
 
Nimepigwa mno na single mothers ambao niliamini baada ya 'kupigika' tungeyajenga vizuri sana kwa maana wameshayajua maisha, lakini wapi!

Wa kwanza kanipiga, visa havieleweki tu kila siku. Mwishowe tukaamua yaishe.

Wa pili kanipiga, mtoto akikohoa kidogo tu zinaanza safari za 'kwenda kumtibu'. Nikaona nachotaka kufia hapa ni nini?

Huyu wa tatu ndio jana kaniuliza kabisa, huku mdomo akiwa kaupeleka pembeni (ishara ya dharau), "Hivi wewe kwa akili zako unafikiri kabisa nitamsahau niliyezaa nae? Mfyuuuu!"

Nimeondoka nyumbani mpaka sasa sijarudi.

Wadau, wapi anapatikana asiyekuwa na mtoto katika umri huo nijiandae kula nae kikokotoo?

Nimekwama, tusaidiane.
Nenda bush huko tafuta binti.....uje nae town tena unaenda mburu huko.....unakuja unakula weeeeeeeee akijanjaruka .......unamwacha unatimba tena bush kubeba mwingine...

Yaani unakua kama gari la mkaa wakizengua tu wewe unaenda bush tena
Nimecheka sana wallah
 
Inategemea ujiwekaje, 43yr bado kuna wanawake wengi sana 25-32 walojitunza hawana watoto unawapata ingawa pia unaweza pata wale walio desperate na maisha ya ndoa wakaanza kukuksumbua ndoani.
Hapo pia inaweza kuwapata wenye changamoto ya uzazi. P2 washakula vyakutosha Hadi matumbo yameota SUGU
 
katafute kiserengeti bush kwenu kakupikie chai na kukulea achana na hayo mashangazi
 
Kama hapo ulipokua mnakaa mmepanga shikikia hapa hapa

Nimeondoka nyumbani mpaka sasa sijarudi
 
Back
Top Bottom