Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

Mmeitwa ACT nendeni maana CHADEMA imewakaanga kisawasawa!
 
Shida wote walio kwenye group hilo hawana mvuto yani wamevundaa hakuna hata wa afadhali ss watahamia wpai?

Chadema ina watu wake wanaoeleweka bwana
Kama hawana pa kwenda waende CCM
 
Nyinyi ni wanafki na wasaliti wa watanzania wanaopigania haki nchini. Mmeshajulikana na kwasababu mnataka kuyashibisha matumbo yenu, amieni vyama hivyo 18 vitakavyoshiriki waacheni wale wenye kupigania haki ya mtanzania kuthaminika kura yake katika chaguzi kuu na kumchagua kiongozi ampendaye. Mpo tayari wapinzani wafe ili mpite, sasa alichokifanya Mnyika kimekuwa msumari kwenu na mmeishiwa maneno. Nendeni mkajiorganize upya na aliyekuwa akiwapa tonge muda wote wa uongozi wake miaka 20 either muanzishe chama chenu au muhamie ACT Mzalendo au NCCR
 
Nyie mlimwaga mboga kwa kutumiwa na CCM kupambana na uongozi sasa tumemwaga ugali na jiko tumelivunja kabisa.
 
Haya maisha tu unataka sisi tuishi vipi? Mmwendoa Mbowe angalau alikuwa anatucheck maisha yanaenda mnaleta zenu za kuleta watu tufe njaa? Kipindi hiki cha uchaguzi ndo wakati wa kuzichanga nyie mnaleta mapepe.
 
Imekula kwenu nendeni Chauma mkaufinye ubwabwa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
CCM hawawezi kutuona tuna deal tukiwa huko. Watatudharau tu na kututupa hawa jamaa.
Ni vile tu utakavyojiweka! Ukijiweka weka ilimradi ni kweli hautakuwa na deal kwao! Ukijiweka kiakili watakuheshimu tu! Mfano mzuri ni Mkuu wetu wa mkoa Dar es Salaam, Mh Albert Chalamila baada ya kufurushwa huko Tabora hakujiweka kihasarahasara!! Wlimuita!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…