Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Hao viumbe ni pasua kichwa sana, kuna mmoja alimbana mshikaji kwamba amezaa mtoto wake na jamaa anaye mke tayari, basi jamaa akamwambia ili mambo yaende sawa waende ustawi wa jamaa ili wakaandikiwe vipimo vya DNA ili ifahamike kisheria kwamba huyo mtoto ni wake, mwanamke hataki anang'ang'ana tu apewe pesa za matumizi. Yaani ilikuwa mtifuano mkubwa hadi leo huyo mwanamke hajafuata utaratibu na jamaa kapotezea.
Halafu mwanamke kama huyo akianza kulalamika utafikiri kaonewa, kumbe yeye mwenyewe ndo kajifanya kichwa maji.
Kweli kabisa !
Halafu wengine unakuta mimba/mtoto wanapewa wanaume 3 [emoji108]
Kote anatarajia kupata ruzuku ya matunzo ya mimba/mtoto ,
Ndiyo maana hawataki kwenda kupima DNA.
Wengi tu wanawauzia wanaume watoto ambao si wao ili wapate hela za malezi.