Msaada: Nauli ya ndege Dar-Kigoma daraja la economy ni kiasi gani?

Huyo hajui hata sehemu gani anaweza kupata taarifa sahihi! Hata kuingia kwenye website ya watoa huduma hawezi! Au anataka tujue anaenda kupanda ndege!
Umenikumbusha kuna Mzee aliendaga kufanya deiwaka Kigoma, basi baada ya kukamilisha ile kazi bosi akamkatia ticket ya ndege kurudi Dar, basi yule jamaa mbwembwe zake aliita familia yake yote waje kumpokea airport, nilicheka sana.
 
Attachments

  • Screenshot_2023-09-22-11-56-21-46.png
    Screenshot_2023-09-22-11-56-21-46.png
    39.1 KB · Views: 22
Umenikumbusha kuna Mzee aliendaga kufanya deiwaka Kigoma, basi baada ya kukamilisha ile kazi bosi akamkatia ticket ya ndege kurudi Dar, basi yule jamaa mbwembwe zake aliita familia yake yote waje kumpokea airport, nilicheka sana.
😀 ni kawaida kwa watu wengi ambao hawajawahi kupanda ndege kujitangaza sana! 2014 Baba yangu alipanda ndege kutokea Mwanza kuja Dar! Flight ilikuwa saa mbili na nusu asubuhi! Ila saa tisa alfajiri kashaamka yuko bafuni anaoga na taxi ilikuja kumchukua saa kumi na robo!
Nilikogopa sana kitu kinaitwa kupanda ndege kwa mara ya kwanza!
 
huu ndio msaada wa PhD kwa certificate daktari?
Huyo hajui hata sehemu gani anaweza kupata taarifa sahihi! Hata kuingia kwenye website ya watoa huduma hawezi! Au anataka tujue anaenda kupanda ndege!
 
😀 ni kawaida kwa watu wengi ambao hawajawahi kupanda ndege kujitangaza sana! 2014 Baba yangu alipanda ndege kutokea Mwanza kuja Dar! Flight ilikuwa saa mbili na nusu asubuhi! Ila saa tisa alfajiri kashaamka yuko bafuni anaoga na taxi ilikuja kumchukua saa kumi na robo!
Nilikogopa sana kitu kinaitwa kupanda ndege kwa mara ya kwanza!
Wengine nao safari za mtoni wanataka kusindikizwa airport na ukoo mzima.

Nilikuwa na kademu kangu, safari zake UK alikuwa anaondoka na KQ ya usiku mkubwa reporting time kama SAA 8 usiku miaka ile, basi alikuwa ana shobo anakuja home usiku kwenda airport anaondokea kwangu airport tunaenda mtu mbili tu, ila kuna mzungu kashanipora yule mtoto nimekubali yaishe tu maisha yanaeñdelea.
 
Acha uvivu ww ni mtu mzima ebu fungua google uangalie mwenyewe
Kuna ATCL na kuna Precissio ,Auric ebu ingia web site zao soma mwenyewe wacha uvivu
 
Wengine nao safari za mtoni wanataka kusindikizwa airport na ukoo mzima.

Nilikuwa na kademu kangu, safari zake UK alikuwa anaondoka na KQ ya usiku mkubwa reporting time kama SAA 8 usiku miaka ile, basi alikuwa ana shobo anakuja home usiku kwenda airport anaondokea kwangu airport tunaenda mtu mbili tu, ila kuna mzungu kashanipora yule mtoto nimekubali yaishe tu maisha yanaeñdelea.
Alikuwa anakuona jembe sana route za kwenda nae airport zilimpa connection ya mzungu! Pole sana bwana!
Mimi kusema kweli mara ya kwanza kupanda ndege familia na watu wangu wa karibu wote walikuwa na taarifa sema tatizo mambo ya status yalikuwa hayaja sambaa kama saizi!
Safari yenyewe ya kwenda home Mwanza tu hapo! 😀
Kwa hiyo jamaa kuuliza ni sawa tu maana ni wakati wake ngoja atambe bhana!
 
Hamna huyo mzungu tulikuwaga kampuni moja Mimi nikawa nammega kimyamimya, baadaye yule mzungu ndio akamrusha kwao mamtoni, hata hiyo safari nilikuwa najuwa anakwenda kwake.

Usizibe riziki ya mwanamke kama unaona kuna bright future iko mbele yake, let her go.
 
Back
Top Bottom