Msaada: Nauli ya ndege Dar-Kigoma daraja la economy ni kiasi gani?

Nimeimaliza Mkuu, kwasasa nimabakiza kufunga finishing ndogo ndogo na iwapo Mola akapenda nategemea tarehe 20 Mwezi ujao ianze kufanya kazi
Ukimaliza uniambie nije kukuchangia hata kulala siku 10 nitembee ukanda huo
 
Ndugu wanabodi naomba kujua gharama kwenda na kurudi kutokea Dar.
Panda Adventure wewe! Halafu ukifika hapa Dumila nitakupa debe 2 za mchele ili uwapelekee ndugu zangu Waha huko Kigoma.
 
Ukimaliza uniambie nije kukuchangia hata kulala siku 10 nitembee ukanda huo
Karibu sana mkuu, ila inaonekana hii biashara kwa huku nilipo ina soko kubwa, hopefully itanisaidia kujenga hotel miaka ijayo
 
Sasa una smartphone na internet kwa kazi gani?
Unaweza kujua nauli kwa kujaza BOOKING kwenye website yao hii hapa

Baada ya hapo utatakiwa kulipia ticket kabla booking hajia-expire

Unaweza ukalipia kwa mobile money au kwa wakala wao aliye karibu nawe. Hata hivyo ukiamua kukata tiketi kwa kutumia walkala wao, anaweza akakucharrge fee kidogo kama service charge
Safari njema sana. Kwetu mimi ni Mwakizega ila kwa sasa hivi naishi Luiche
 
Khe! Mimi tena?
 
Ndugu wanabodi naomba kujua gharama kwenda na kurudi kutokea Dar.
Unaweza kujua nauli kwa kujaza BOOKING kwenye website yao hii hapa

Baada ya hapo utatakiwa kulipia ticket kabla booking hajia-expire

Unaweza ukalipia kwa mobile money au kwa wakala wao aliye karibu nawe. Hata hivyo ukiamua kukata tiketi kwa kutumia walkala wao, anaweza akakucharrge fee kidogo kama service charge
Safari njema sana. Kwetu mimi ni Mwakizega ila kwa sasa hivi naishi Luiche
 
Karibu sana mkuu, ila inaonekana hii biashara kwa huku nilipo ina soko kubwa, hopefully itanisaidia kujenga hotel miaka ijayo
Funga mkanda muombe Mungu lakini pia hakikisha usafi mzuri na wahudumu wanaojali wateja
 
Unaweza kujua nauli kwa kujaza BOOKING kwenye website yao hii hapa

Baada ya hapo utatakiwa kulipia ticket kabla booking hajia-expire

Unaweza ukalipia kwa mobile money au kwa wakala wao aliye karibu nawe. Hata hivyo ukiamua kukata tiketi kwa kutumia walkala wao, anaweza akakucharrge fee kidogo kama service charge
Safari njema sana. Kwetu mimi ni Mwakizega ila kwa sasa hivi naishi Luiche
Ahsante mkuu
 
Shukrani kwa mawazo chanya Mkuu
Sio mteja nafika nafunguliwa chumba naambiwa chumba hiki hapa ingia uone kama hukitaki Acha katafute sehemu nyingine, au mteja unauliza mbona shuka kama haijawa safi unaambiwa kama huwezi lala ondoka wateja wapo wengi
 
Nitajaribu kupata binti aliyesoma customer services ndiyo akae mapokezi.

Biashara ni pamoja na lugha, hilo nitazingatia
 
Back
Top Bottom