Sikiliza moyo wako huku ukiwa umeshapiga mahesabu ya miaka kadhaa mbele. Hawa wanawake ukiwaonea huruma utavuna mabua! Jiandae tu kugawana mali na huyo mkeo
MWANADAMU HAWEZI KUBAKI SALAMA KWA KUFUATA NA KUTIMIZA KILA HITAJI LA NAFSI YAKE BALI KWA MATUMIZI SAHIHI YA FAHAMU ZAKE!Huu ushauri mzuri fata moyo wako
Yaani kweli kabisa, wanaume wengi lawama zote wanazirushia kwa wanawake, lakini wamesahau wajibu wao kwanza, mme ukisimama kwenye nafasi mbona rahisi yaani wanawake jamani kushusha hasira hata kwa pipi tu eti unasamehe na kucheka hapo hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sasa unakuta asiyejielewa anavimba na kwenda kulewa na michepuko tu huko badala ya kusawazisha kwa mkewe kwanza has haa!MUNGU ALIAGIZA TUISHI NA WANAWAKE KWA AKILI, MATATIZO KWENYE MAHUSIANO NA NDOA ZA VIJANA WA SASA YAMEONGEZEKA KWA SABABU VIJANA WA KIUME WAMEACHANA NA MATUMIZI YA AKILI NA BADALA YAKE HISIA NA MIHEMKO NDIO VIMEWATAWALA!
MWANAUME YEYOTE ANAYEISHI NA KUSIMAMA KATIKA MISINGI YA UANAUME KIMAUMBILE HAWEZI KUSHINDWA KUISHI NA KIUMBE DHAIFU KAMA MWANAMKE!
KUNA MAHALI WANAUME TUMETOKA NJE YA MSTARI!
TUJISAHIHISHE!
Tatizo ni stress tu! Unakuta mtu anakuboa kila mara mpaka humtamani. Peace of mind is everything to a man.Abaki hapo hapo na wala usimueleze mambo mazuri au mabaya ya mkeo na familia kwa ujumla , akujue wewe kama wewe
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Mwanamke ndio chanzo...Kabadilika hamjali mume kama inavyotakiwa sasa mume afanyeje. Hata mie natafuta amani yagu nje huko! Yani nimeoa halafu nipewe mbunye kwa masimango, mahaba 0 stress kama million 600 hivi shabash. Huo upendo utatoka wapi?Yeye tangu 2014 yupo na mchepuko kwahiyo yeye yupo sawa? Kama mkewe alishajua hilo hivyo anajua pesa inagawanywa hapo ni jino kwa jino yeye aachane na mchepuko huo wakudumu arudishe mapenzi kwa mkewe aone
hata wa kwangu kama hao wa kwenu, mm naona Mama yao ni mmojaHuyo mke wako hana tofauti na mke wangu
Nje lazima lkn usiwaache watoto, watoto kwa Wife ndio liwazo, wagharamikie mavazi Elimu nk huyo wife achananae na vipesa vyake Corona itaisha na jamaa atapata kaziMwanamke ndio chanzo...Kabadilika hamjali mume kama inavyotakiwa sasa mume afanyeje. Hata mie natafuta amani yagu nje huko! Yani nimeoa halafu nipewe mbunye kwa masimango, mahaba 0 stress kama million 600 hivi shabash. Huo upendo utatoka wapi?
Mchepuko ni kwa ajili ya ile hospitality service tu. Maswala ya wivu nae na ulinzi sio kipaumbele ila treatment yake ya mahaba ndio dawa tosha.Nje lazima lkn usiwaache watoto, watoto kwa Wife ndio liwazo, wagharamikie mavazi Elimu nk huyo wife achananae na vipesa vyake Corona itaisha na jamaa atapata kazi
Tatizo Mchepuko lazima utagongewa maana huwezi kuulinda
akajaribu kuupeleleza 24hrs km hakurudi na mastress
Huko kupewa mbunye kama unavyoitaja kwa masimango huwa kuna sababu, mbona wapo wanawake wanaovumilia wanaume wasio kuwa nguvu za [emoji123][emoji123] ume? Inamaana nao waachwe?Mwanamke ndio chanzo...Kabadilika hamjali mume kama inavyotakiwa sasa mume afanyeje. Hata mie natafuta amani yagu nje huko! Yani nimeoa halafu nipewe mbunye kwa masimango, mahaba 0 stress kama million 600 hivi shabash. Huo upendo utatoka wapi?
Sababu ni ipi hasa, kama uchumi umeyumba na ni worldwide genji limepungua ndio kisa cha kuanzisha drama za kijinga?Huko kupewa mbunye kama unavyoitaja kwa masimango huwa kuna sababu, mbona wapo wanawake wanaovumilia wanaume wasio kuwa nguvu za [emoji123][emoji123] ume? Inamaana nao waachwe?
Kununua ngono vs kumiliki mchepukoMchepuko ni kwa ajili ya ile hospitality service tu. Maswala ya wivu nae na ulinzi sio kipaumbele ila treatment yake ya mahaba ndio dawa tosha.
Haaaaaaaaa makubwa haya, kumbe nyumba kubwa ina umuhimu sana eeee, pole sana ila mnaumiza sana wake zenu sio vizuri je naye miaka hiyo 4 angekata tamaa na kuruka na wengine ingekuwaje?hata wa kwangu kama hao wa kwenu, mm naona Mama yao ni mmoja
inanibidi niwe mpole, kwani niliamua kujichimbia nje kwa kimada km miaka minne hivi
nilipotaarifiwa ujauzito nikafurahi, du mtoto alipoletwa tofauti kabisa
hapo lazima ujute nguvu uliozpoteza nje
hawa watu usipokaanao karibu na kulala lazima nje atatafuta kiBen10 au mshefa
mnachangia sahani moja kwa wakati tofauti, utapakuliwa sahani hiyohiyo na usigundue
mm nimerudi Home kwa watoto Home is better
aliruka nao saaana tu, madereva wa malori, walinzi wa viongozi maana usiku siendi, mm nalipa kodiHaaaaaaaaa makubwa haya, kumbe nyumba kubwa ina umuhimu sana eeee, pole sana ila mnaumiza sana wake zenu sio vizuri je naye miaka hiyo 4 angekata tamaa na kuruka na wengine ingekuwaje?
Hamna, sikia mkuu Kaka [emoji23] ni hivi wakati zipo mme unakuwa hausomeki sawa mirupo kibao, sasa siku zikipungua ndiyo mke unaambiwa matatizo ohoo tuvumilie ty hali ngumu, hapo hapo anajua kama kuna mchepuko wanagawana matumizi, na mara nyingi℅ mchepuko yakudumu ndiyo hupewa pesa ndefu ya matumiziSababu ni ipi hasa, kama uchumi umeyumba na ni worldwide genji limepungua ndio kisa cha kuanzisha drama za kijinga?
Duu pole sana, mwingine alipewa mtoto imeenda sijui machale yakamcheza kubana sana mwanamke na kutaka kupima DNA mchepuko umekimbia, yaani ukiona tatizo kwa mke tafuta ufumbuzi sio kutafuta mchepuko, shukuru hujapata maradhi, pole sana tulia na mkeoaliruka nao saaana tu, madereva wa malori, walinzi wa viongozi maana usiku siendi, mm nalipa kodi
hamadi watoto wawili sio wangu
wa kwanza nikamsamehe, akanitegea wa pili, duh hatufanani miguu wala rangi eti kafanana kwao upande wa mama mzazi, nikaona isiwe shida kwangu kupo na nina watoto siwezi lipia danguro kila mtu aingie
yaani bora uchapiwe kuliko uzalishiwe utaulizwa ulikuwa wapi miezi 9 usigundue mpaka klinik
KULALAMIKA NI ISHARA YA UDHAIFU KWA ANAEPASWA KUCHUKUA HATUA!Yaani kweli kabisa, wanaume wengi lawama zote wanazirushia kwa wanawake, lakini wamesahau wajibu wao kwanza, mme ukisimama kwenye nafasi mbona rahisi yaani wanawake jamani kushusha hasira hata kwa pipi tu eti unasamehe na kucheka hapo hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sasa unakuta asiyejielewa anavimba na kwenda kulewa na michepuko tu huko badala ya kusawazisha kwa mkewe kwanza has haa!
yaani km ulikuwepo, kaleta fujo sana nyumbani kidogo wife ajue, ingawa walishapambana uso kwa uso akinitafuta na mtoto wife hakujua akamwambia sipo. Ikabidi niende Polisi kitengo cha Jinsia akapewa wito tukapime DNA akaruka na matusi hata Diffender ije na kiosi haendi, ndipo mume tunayechangia akajitokeza kumbe mlinzi kwa wahindi akasaini mtoto wa kwake, majuzi kwa aibu anaomba tuendelee mtoto si wanguDuu pole sana, mwingine alipewa mtoto imeenda sijui machale yakamcheza kubana sana mwanamke na kutaka kupima DNA mchepuko umekimbia, yaani ukiona tatizo kwa mke tafuta ufumbuzi sio kutafuta mchepuko, shukuru hujapata maradhi, pole sana tulia na mkeo
Sasa mtu amedai alikuwa anaacha buku 7 ila mambo tight akapunguza salio likawa buku 5! Kosa liko wapi?Hamna, sikia mkuu Kaka [emoji23] ni hivi wakati zipo mme unakuwa hausomeki sawa mirupo kibao, sasa siku zikipungua ndiyo mke unaambiwa matatizo ohoo tuvumilie ty hali ngumu, hapo hapo anajua kama kuna mchepuko wanagawana matumizi, na mara nyingi℅ mchepuko yakudumu ndiyo hupewa pesa ndefu ya matumizi
Kuna sababu aseme tu vizuri [emoji23]Sasa mtu amedai alikuwa anaacha buku 7 ila mambo tight akapunguza salio likawa buku 5! Kosa liko wapi?