Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Ukiona mtu anamsifia mchepuko, tambua huyo bado hajamjua huyo kiumbe bado kawekwa kwenye kona, siku akiyajua ya nje ya ukuta nazani hapo ndiyo atakaa sawa
 
Mwanamke ambaye hakuonei huruma.

Mwnamke ambaye anakupa ngono kwa masimang’o

Mwanamke ambaye hakusikilizi wala kukuheshimu

Haya makundi matatu yanashusha sana mapenzi ya mwanaume kwa mkewe.


Mwanamke atavunja ndoa yake mwenyewe ni kweli kabisa,Mwanaume ni kichwa ila kama kuna kitu ambacho kinamvuruga mwanaume mpaka anaanza kufanya mambo ya kipuuzi basi hizo sababu hapo juu ni chanzo.

Mi nasema kwenye mahusiano wanawake wanachangangia sana mwanaume kuwaza michepuko uwaga tunakuwa tunawajali kweli wake zetu mara mtu anaanza visirani mara unakujibu anavyotaka bahati mbaya sana stress ya mwanaume inaondolewa na mwanamke sasa ikitokea mkeo ndo anakupa stress no way hapo ni mchepuko tu,wanawake wao stress wanaitoa kwenye umbeya huko atakusimanga weeeeeee mpk ukome.

Ila sisi sasa kazini umevurugwa huko unarudi home walau ukae na mkeo kichwa kitulie nae anaanza ungese bahati mbaya huwezi kwenda kijiweni kumjadili mkeo huweziiii.Ngono kwetu ndo kituliza mawazo basi unalivaaga shangingi huko ili mradi tu ukirudi nyumbani uwe ume relax usigemfumua mtu makofi.Wanawake hili hata hawaelewi kabisaaaaaaa.mwanaume na stress ni vitu viwili tofauti ukianza kumpa mawazo utaona vimbwanga mpaka ushangae
 
Huyo dada anajifanya mwema ili umwache mkeo, ukimpandisha cheo tu utaona rangi yake,pia wanawake huwa tunajua watu wakivhepuka nadhani mkeo kashajua unachepuka na upendo hamna anaishi na wewe kisa watoto tu basi.
 
Mwanaume ana inferiority complex awe makini Sana mchepuko una roga ngoja auoe aone. Hafu hapa kaandika upande mmoja what other side of the story mwanamke awezi kubehave hvo kabla hajaanzishwa na mwanaume
 
7000 mbona hela ndogo Sana yet ana michepuko huko huoni ana shida
 
Usiache mbachao .......ni Bora ukakaa Chini na mkeo kimahaba kabsa ikibidi muende mbali na nyumbani uzungumze nae kiupole lazima atafunguka na ambayo hukuwai fikiria sababu wanawake wapo sensitive na tuvitu tudogotudogo kingine usiangalie madhaifu yake hata wewe jitathimini hakuna aliyekamilika, hata huyo mchepuko anakubebisha ni swala la muda Tu. Baki njia kuu usijesema badae ningejua
 
Wakati mwingine ukiona kina kirefu basi endelea na yako badala ya kutaka kujipa ugonjwa wa moyo kupigizana kelele kila kukicha. Maisha yenyewe mafupi.

Ingekuwa anamfanyia hivyo tangu awali basi asingefikia maamuzi ya kumuoa. Atafute alipokosea arekebishe. Mchepuko haujawahi kuwa suluhisho bali bomu linalotokota taratiiibu. Likilipuka bahati mbaya wanalipia woote mke,mume na watoto pia.
 
Usiache mbachao .......ni Bora ukakaa Chini na mkeo kimahaba kabsa ikibidi muende mbali na nyumbani uzungumze nae kiupole lazima atafunguka na ambayo hukuwai fikiria sababu wanawake wapo sensitive na tuvitu tudogotudogo kingine usiangalie madhaifu yake hata wewe jitathimini hakuna aliyekamilika, hata huyo mchepuko anakubebisha ni swala la muda Tu. Baki njia kuu usijesema badae ningejua
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ukome wanaume hujitaftia stress
 
Wakati mwingine ukiona kina kirefu basi endelea na yako badala ya kutaka kujipa ugonjwa wa moyo kupigizana kelele kila kukicha. Maisha yenyewe mafupi.
Kwa hayo maelezo yake kina kirefu kiko wapi?
 
Nadhani umeshajuta hapo maana maumivu ya kuchepuka had kuzaa unayo, kuomba msamaha wife unaona aibu
 
Imeandikwa Tuishi na wake zetu kwa akili sana, huyo mke wako anaonyesha tabia yake halisi, huyo mchepuko bodo ameficha tabia yake halisi, siku ukizaa nae ndipo utaamini, ni bora uepuke mahusiano ya kudumu na michepuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…