Msaada: Nimepewa siku 30 niondoke nyumbani kwa Baba mkubwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu wengine nuksi sana yani

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Sure kabisa .

Mimi huwa wanajiuliza mbona huji kwetu .
Huwa ninawaambia nitakuja tu sio kwamba naenda kweli .[emoji1]

Mimi kukutana nao kwenye matukio Kama msiba na sherehe otherwise hawaioni sura yangu kabisa

Unajua ukiwa around kila wakati watu wanakuchukulia poa heshima hamna kabisa

Unaweza katika miaka 3 sikutani nao kabisa [emoji1]
 
Ondoka hapo kapambane
changamsha akili acha kulialia kwenye nyumba za watu au ulitaka akuache uzeeke hapo mafanikio huja baada ya changamoto fulan acha kubweteka
 
Kaa na familia muyajenge,hayuwezi kujua nanni yuko sahihi wewe au huyo baba mkubwa inawezekana ulijiachia kama kwako vile!
 
Hii mkuu ya kukaa kwa mtu ni uzembe sana ni kama utumwa,mbaya zaidi ujifanye mjuaji kuliko mwenyeji,utaisoma namba.1,27,9!
 
Angalau ulikuwa na pakuanzia mkuu vipi kama yeye hana chochote cha kuuza? Afanye nini?
 
Maisha yamebadilika Sana, mtoto wa Kaka yako unamfukuza au mdogo wako wa damu unamnyima chakula, mi nakua watu wanajazana home Kama hospital, wafanyakaz wanatoroka wanaacha kazi,, kauli ya mzee wangu wageni ni baraka, imenijenga sana, Maisha safar, tupende ndugu zetu.
 
Unafikiri uko peke yako. Hata hao unawasikia wanafukuza au kushabikia mtu kafukuzwa wamepitia huko huko.
 
Ila mkuu,huyo mume hakutakiwa nae kumnyima mtu chakula ukizingatia amekuja kuwasaidia kazi za ndani huku mkeo akiwa mjamzito,ina maana wangekua na Dada wa kazi pia wangemnyima chakula? wangempa chakula na mshahara juu,sasa iweje wamnyime chakula mtu anayewasaidia kazi tena free? inafikirisha sana aisee.
 

Nyie watu wa IT nadhani ni tatizo. Mimi nina roho nzuri kuliko baba yako mkubwa, kuna dogo kamaliza hiyo IT kakaa hapa kwangu 2 years!

Juzi wiki iliyopita nimembebesha virago. Kilichofanya nimtimue ni baada ya kuona dogo hana muelekeo wowote wa kujitahidi kupambana na life. Nimemtafutia kazi mara mbili, kote anaharibu. Nilimpa laptop yangu imsaidie walau afanyie kitu, yeye akaiuza akanunua smartphone na hela zingine sijui kapeleka wapi. Yeye anachotaka ni kukaa sebuleni, kucheki movies kali, series na miziki yote mipya mipya. Hasaidii kazi yoyote na ikitokea akafanya kazi, siku hiyo atalalamika mpaka kwa majirani wote watajua leo kuna kazi amefanya.

Mbaya zaidi, alianza tabia za ajabu. Yeye akitumwa chochote, chenji inayobaki harudishi hata iwe imebaki 9500 anaipiga. Hata dada akitoka sokoni akaweka chenji mezani au popote, yeye anapita nayo!
 
We ni jinsia gani, mwanamke au mwanaume? Itasaidia kukupatia dozi sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…